Kamanda Barlow, was that right?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Barlow, was that right??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucas, Apr 3, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa naangalia habari kwenye Star tv, kamanda anaonekana kutumia command alipoulizwa maswali kuhusu utata wa taarifa alizotoa mwanzo na alizotoa leo kutofautiana, anasema yeye ndiye msemaji na anachosema ndivyo ilivyo na akitaka atahoji tena na tena

  Kuna mwandishi mmoja aliyetaka maelezo juu ya taarifa alizo nazo yeye na zilizotolewa huyo yeye alifukuzwa na askari wakaambiwa asirudi tena huyu hapa, asiingie hapa tena. akamtisha kuwa kwa kuficha taarifa za jinai anaweza akamfungulia kesi ya jinai pia.

  Nilivyoona ni kuwa kamanda Barlow hakuwa na lugha nzuri (alivyoonekana) kwa waandishi na hakukuwa na sababu ya kutumia lugha ya jazba na hasira, maana itamgharimu sana kama ataendelea kuwa hivyo!!

  sijui wengine mmelichukuliaje hili!!
   
Loading...