Hakuna haja kupinda maneno ccm imetuangusha arumeru. Hasa wapiga kampeni wake. Waliacha mambo ya msingi wakaingilia matusi. Angalia pia pale kirumba mwanza jinsi waziri alivyokuwa akikata mauno...
nimedadisi sana mwishowe nimegundua CCM ni sikio la kufa... Kamwe haliwezi sikia dawa. CCM ni sawa na Kobe kuanzia gamba lake mwendo wake wanafanania kwa kila kitu na kwa maana hii CCM ina gamba...
Salamu wanajf,
wakati tukiendelea kufurahia ushindi tulioupata huko Arumeru, naomba tukumbushane viongozi na watu wengine wenye influence ktk jamii yetu ambao wamejikuta wakiondolewa nyadhifa...
Leo nimebahatika kuhudhuria kesi ya Nsanzugwanko dhidi mh. Zaituni Agripina buyogera mbunge wa kasulu vijijini.kumbuka leo mh. Zaituni ndipo alikuwa anatoa ushahidi wake dhidi ya tuhuma...
Habari nimeikuta kwenye gazeti la mwananchi la leo.
Wakulima wa mpunga wa Bunda waliokuwa wakijitahidi kukabiliana na umasikini kwa kilimo cha mpunga ziliyeyuka kwani inadaiwa sumu kutoka kiwanda...
Anasema j'm0s watatoa tamko,ila anadai kes ni ya kubambikiza,na fununu walizopata ni kuwa walijua watashndwa,na maamuz hayakua ya haki,though wanaheshim MAHAKAMA
DW RADIO
-Huku kwetu hatupewi mishahara minono...
-Huku kwetu hatupewi 'incentives'....
-Huku kwetu neno "WITO" linatumika kama nyundo ya kututwanga... So wengi tunalichukia ...
-Huku kwetu kazi...
UPDATE MPYA :Audio ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya Dunia walipohojiana na Godbless Lema na kupata maoni ya Wananchi wa Arusha
UPDATEMPYA :Maoni ya Godbless Lema na Wananchi wa Arusha Mjini...
Mh. Jaji Upendo Msuya amefiwa na mwanaye William H. Msuya aliyekuwa nchini Malaysia. Jaji Upendo ndo anayesikiliza kesi ya kupinga ushindi wa John Mnyika uchaguzi wa ubunge jimbo la Ubungo. (Hawa...
Kwa gazeti lililojipatia sifa hapa nchini Tanzania Daima inaelekea halina sifa za watu makini hasa kwenye uhariri na uchambuzi wa habari.
Mimi ni msomaji mzuri sana wa habari karibu zote na hata...
TB Joshua prophesies Mugabe's death?
By Wonai Masvingise and Thelma Chikwanha
HARARE – Reports that Temitope Balogun Joshua, a Nigerian prophet using the name TB Joshua, has foretold the...
Jana nimesimuliwa kisa cha ajabu sana kutoka kwa jirani yangu, ambaye ni mama wa makamo wa kunizaaa hivi. Mama alikwenda kwenda kuchukua pesa kwenye ATM kwa ajili ya manunuzi ya sikukuu (kwa...
Kuna baadhi ya watu ambao nawaita washenzi, wanapenda kueneza chuki dhidi ya wachaga.Utasikia Wachaga wanapendeleana ktk kazi,ni mafisadi ndio maana ni matajiri.Wachaga wanajitambua cha kwanza na...
Wakaguzi wa hesabu wamebaini Ufisadi Mkubwa Hospitali ya Macho CCBRT ambapo imebainika kwamba mishahara ya wafanyakazi kutoka Hazina ,haijawahi kulipwa!!
Pia Watendaji wakuu CCBRT walifanya...