Leo asubuhi mazungumzo yanayo gonga vichwa vya habari katika kona mbalimbali za jiji la arusha,vijana wengi wanapendekeza chadema imwombe mke wa Godless lema agombee.wanajamvi mnasemaje kuhusu hilo?.
Sasa hivi kuna kikao kinaendelea hapa H/Shauri ya Meru cha Madiwani wa sisiem. Kinaitwa 'Kikao cha chama' ambacho hufanyika kabla ya Full Council. Cha ajabu ni kwamba hulipwa Posho ya 'kukaa'...
Katika pitapita zangu mitaa ya a town nasikia huyu bwana na wenzake wawili waliomshtaki lema wanatafutwa na machali awaeleze kwanini wamemsababishia mbunge wao aangushwe! . Sorce, mimi.
mbunge wa mtera livingstone lusinde amefanikiwa kujitengenezea msamiati mpya
kama ilivyokuwa kwa meya masaburi alivyotengeneza msamiati kwa jina lake la masaburi as makalio
watu kuyaita makalio...
Wakuu hali zenu vipi.
Kuna breaking newz ingawa nimechelewa kuwaletea ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wizara ya afya Blandina Nyoni amefiwa na mama yake mzazi. Nawasilisha wakuu. Sijui kifo cha...
Hawa wafuasi wa magamba walishauriwa vibaya kisa chenji chache kutoka huko juu, wakaingia kichwa kichwa,mabwana zao wakamwaga hela wakashinda.sasa wao wanarudi kwenye nyumba zao za vibatari...
Dr lwaitama akiongea kwenye Sibuka Tv,muda huu amesema kama angepewa nafasi ya kumshauri Rais Mstaafu Bwm,kwa udogo wake angemshauri BWM asijihusishe na Siasa ndogo ndogo labda angejihusisha na...
Baada ya kusoma jamaa anajivunia jimbo linaloongozwa na Upinzani, nimeona nije na watu wanaotoka majibu yanayotia aibu na karaha. Kama na wewe ni kama mie, hebu tujiorodhehe hapa Majimbo ya kutia...
hii ni baada ya waandishi wake kurusha live mchakato wa upigaji kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki.
Watu waarusha walionekana katika vikundi...
Kuna biashara imeanza ya kuuza viwanja ovyo ati vilikuwa vinamilikiwa na ccm
swala hili limekua aibu hadi kwenye uchaguzi wa eac mmoja wa wagombea inamgarimu
kwa kuuza kiwanja akiwa umoja wa...
Mwezi mmoja uliopita wananchi wakiongozwa na wazee wa Dar walikusanyka na kumpongeza mheshimiwa baba mwenye mji, JMK, kwa kusitisha harakati za madokta kuibadilisha wizara ya afya. Wiki hii kamati...
Ufaransa imetupilia mbali tangazo la kujitangazia uhuru la waasi wa kabila la Tuareg nchini Mali ambao wameanzisha taifa lao wenyewe katika eneo kubwa sana kaskazini mwa nchi hiyo. Waziri wa...
Mch Antony Lusekelo a.k.a Mzee Wa Upako , ameshindwa ku -comment matokeo ya Uchaguzi arumeru kutokana na mkwe wa Rafiki yake kushindwa Vibaya katika Uchaguzi Arumeru!!
Kwa nyakati tofauti Mzee wa...
Huwa natembelea mara nyingi ktk ukurasa wa Dr.Slaa ktk mtandao wa kijamii wa twitter, leo(samahani niko via mobile hivyo siwezi kuleta LINK) amekuja na ujumbe huu.
"Maendeleo hayaletwi kwa...
Wakubwa mtanisamehe kama ntakosea, lakini katika pitapita yangu kwenye mitandao, nimekutana na comment ambayo kiukweli sijaipenda na sijui muhusika alimaanisha nini?
Jamaa aliwaaga watu wake...