CCM inatisha kwa vipaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM inatisha kwa vipaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Apr 17, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Katika uchaguzi wa EALA leo CCM tumeonyesha vichwa vya maana upinzani longolongo tu
   
 2. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Labda vipaji vya kuzomea ndio mmejaaliwa, nyie ni vilaza tu, GAMBA
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  alhajii alhajii alhajii.....kudukududu....dudududu....
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Akili ya viroba na ndumu tu ndo unaweza sema maneno haya!
   
 5. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Vipaji gani hivyo?
   
 6. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukiwa na akili ya Kitimoto ndiyo unaweza kusifia uozo
   
 7. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  vipaji vya kukariri kweli mnavyo ccm.
   
 8. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Na bado, nilisahau kipaji kingine cha wanaCCM ni kugonga meza na matusi mjukwaani. GAMBA.
   
 9. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  nina wasiwasi hata maswali mliiba ama kuambiana mna mana nyie.
   
 10. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nini hii kitu Preta.
   
 11. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wangepewa dakika thelathini tu na majungu wangeanza kuyatoa wakati pale wameambiwa wajinadi.
   
 12. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ccm mna vichwa vichache sana ukilinganisha na wabunge wengi mlionao wengi ni wale wa ndioooooooooooooo
  upinzani wachache kwa idadi yao wanavichwa vingi zaidi ukilinganisha na nyinyi magamba.
   
 13. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Haishangazi uchache wa upinzani ndo mana wanaweza ongea wote kwa siku na hata majina yao mmeyashika kichwani ni rahisi wao kuonekana sisi tuko zaidi ya mia2 hatuwezi ongea wote na hata majina yetu hamuwezi kuyashika kama ya hao kiduchu hii ndo logic hamna kitu pale upinzani ni stamp tu!
   
 14. t

  thandiswa Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba nao kwa kujisifia ujinga,wengi wenu ni vilaza tu mapaka kufikia kutukana jukwaani kudaadekiiii hamna jipya mwisho wenu huo
   
 15. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Lusinde kazini, GAMBA.
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Punguza ndumu na viroba utaelewa tu kuwa Ccm tumejaaliwa vipaji
   
 17. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kudadadadeki CCM.
  Na bado..mpaka ifike 2015 hadi Kikwete atajivua gamba,mshangae kajiunga Chadema,ila na sisi hatuna nafasi yake cjui aende wapi!
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ndoto za mtoto mdogo hizi akiwa amelala mchana!
   
 19. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  hivo hivo... Na mpaka utanyea debe mwaka huu na Ccm yako.
   
 20. t

  thandiswa Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we botilo ni lusinde nini mbona povu linakutoka hivyo,watu km nyie hatuna nafac mtakapojivua gamba,vipaji unavijua au unaota? magamba hamna mvuto tena watu wamefunguka so alarm inagonga kwn vichwa vyenu.
   
Loading...