Lowasa Kisha toa Tamko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa Kisha toa Tamko?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ELIESKIA, Apr 17, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni nani alisema lowasa kutoa tamko leo kwa waandishi sijasikia chochot amesema nn na kwa nani
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa

  Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Watu wapo busy na EALA
   
 4. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo ni mfuasi wa Magamba anapima upepo kuhusu taarifa feki waliyotoa jana.

   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,548
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  kaka so mbaya kama kuna mtu ajibu swali la mleta thread kwani watu wengi tulikuwa na kiu ya kusikia tamko la huyo EL mmoja wa majambazi wa rasilimali za nchi yetu.
   
Loading...