Godbless Lema ni Steve Biko wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless Lema ni Steve Biko wa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ibange, Apr 17, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nasoma magazeti ya zamani nikakutana na makala yenye kichwa cha habari hapo juu. Mwandishi Mihayo Ally amemchambua Steve Biko na harakati zake za ukombozi pamoja na harakati za Lema na mwisho anasema " Hadi kufikia hapa , namleta Lema karibu kabisa kwa kumfananisha na shujaa mpigania haki za kibaguzi Marehemu Steve Biko. Nakubaliana nae.

  Kila mtu ana nafasi yake katika ukombozi. Lema si bright kama Mnyika au Zitto lakini ni simba wa vita kwa maana ya harakati na kuhamasisha pamoja na kukubalika.

  Source. Tanzania Daima November, 6, 2011
   
Loading...