Star tv kulikoni! ccm wanawabania

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Ktk shuguli za bunge la jamhuri ya muungano linaloendelea huko dodoma tunasikitika hatutaliona tena, hii inatokana na tv tunayoitegemea ya star tv kutokuonyesha shughuli za bunge. Huku kwetu tbc haipo kabisa kwa kweli ni masikitiko kwamba bunge wamekataa kuwapa mkataba mpya wa kuonyesha bunge. Chakushangaza wamewapawapa mlimani tv ya chuo kikuu cha dare es salaam ambayo inaishia hapo hapo dar. Hivi kwa nini ccm huchukia vyombo vya habari vinavyokubali kurusha shughuli za vyama vingine! Kwani hamjui viko kibiashara? Tbc yenu ya ccm haina ukwaliti kama star tv.
Sisi tuko kijijini lakini tunawachukia sana kwa ubaguzi huu.

Toka kijijini kwetu
by B. Rimoy.
 
nunueni dish na nyie acheni ubahili.
 
Back
Top Bottom