William akijinadi bungeni, mpeni kura za ndio tafadhali

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Makofi kidogo ndugu wabunge. mpeni william kura ya NDIO ..tunamuombea kila la kheri pamoja na wagombea wengine
574641_404784896213511_100000460123921_1364018_492871449_n.jpg
 
Tunachohitaji ni mwakilishi mwenye kujenga hoja, kama hajawapa magamba cha kwao imekula kwake,JF hatupigi kura.
 
Kwa stahili iyo, kama ni kweli yuko pro taifa kwanza, le mutuz kapeleka wrong foot.
Ni vema ajiunge na wazalendo wa kweli na sio wahubiri uzalendo
 
Back
Top Bottom