Wewe ni mzungu? Njoo Wekeza Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe ni mzungu? Njoo Wekeza Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by queen matara, Apr 18, 2012.

 1. queen matara

  queen matara Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Inapokuwa ni kawaida kwa rais kutafuta na kuwaomba wageni hususan watu weupe kuja kuwekeza Tanzania kila anaposafiri kwenda nch za nje, Balozi zetu zinafanya kazi gani?
  safari hii Brazil,ni bilionea ktk uchimbaji wa madini na wafua umeme....another DOWANS???? God Forbid!!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kalikiti vipi inapokelewa huko?
  maana mimi si mweupe ila nimetamania jinsi mnavyogawa mali yenu utafikiri mnahama.
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,578
  Trophy Points: 280
  Win win adjective halipo kwenye msamiati wa viongozi wetu as in win win strategy or win win contract.
   
Loading...