Siku kama ya leo huwezi kuona comments za Ritz, Rejao, Pasco na matatutapu wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku kama ya leo huwezi kuona comments za Ritz, Rejao, Pasco na matatutapu wengine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Apr 16, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hivi malaria sugu na dem wake faiza foxy wako wapi?
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Wapo wanakutazama tu.
   
 3. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Walipigwa BAN nzito mno.Walichangiwa na Mods kama sita hivi wakiongozwa na mbabe PAW
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wanaugulia maumivu ya Arumeru
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hivi na Mwita25 alipotelea wapi???? Huyu Pasco tangu CCM washindwe Arumeru alikuja kuibukia kwa Kanumbaa na analysis yake ya kifo
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tupo wengi tuuu ccm dam dam hata ukituchanja chalee big up kwa wakuu wetu ritz,faiza,mopaozi,malaria sugu,nnauye juniour mapambano bado yanaendelea
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Jamaa hawajui kuwa tupo kwenye kisusio na kula kuku kwa mrija tukisheherekea kuanza kubomoka kwa jumba la mafisadi.
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Tujulishwe mkuu Kama ha MODS uliowataja wako kwenye payroll ya Chadema, itaturahishia kazi.
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  aliyekuwa anawalipa ana mpango wa kuvua gamba!
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wapo tu, wana ID mia kila mmoja...:)
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Usisahau kujumlisha na wale Mizoga wanaojifanya ni CDM halafu kutwa kucha ni kutukana viongozi.Leo hawasemi chochote kwa sababu wanakasirika hawapendi mafanikio yoyote chini ya majemadari Mbowe na Slaa.
   
 12. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Nitarudi tena,akifika
   
 13. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wako kimya utadhani haya si mafanikio ya chama.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  yule jamaa mwenye avata ya miwani.

  anampenda zito kuliko chadema.
   
 15. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  CDM ni waoga hawatii timu uchaguzi wa wabunge wa EA wamekosa mvuto kwa wapiga kura
   
 16. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Hapa naona nilikosea njia, Idara hii ni ya matusi, masengenyo na mambo ya fitna katika chama Kikuu cha upinzani.
  Kwaherini.
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Rejao na mwenzake mmoja (simkumbuki jina) watakwambieni kuwa mnataka umaarufu kupitia migongo yao! As if kutoa pumba nao ni umaarufu wa kujisifia!
   
 18. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Tunte.........e
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wapo kwenye jukwaa la mapenzi nimemuona huko rejao
   
 20. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hakuna mwanachama au mpenzi wa CHADEMA ambae yupo kwenye payroll zaidi ya viongozi wetu ambao ni lazima tuwatunze ili wasilazimike kutafuta namna ya kutunza familia zao na hivyo kukosa fursa ya kutumikia chama chetu. Tuliobakia tunajitolea kwa hali na mali kuhakikisha ustawi wa chama chetu na Taifa letu!
   
Loading...