Ni nani atatuchukua nchi ya ahadi?

Lakuchumpa

Member
Mar 28, 2012
73
13
Jamani watanzania tunalia na tunalia sbabu ya umaskini uliokithiri
kwani tuna resources za kutosha ila sera mbovu na uongozi mbovu ndo chanzo
Ninani akubali kujitwisha guia hili la misumari na kuwapeleka wananchi pale wanakopatamani?
Tunaitamani sana nchi ya haadi ila wa kuwasidia watanzania ndotatizo
 
Back
Top Bottom