Msaada modem ya airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada modem ya airtel

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Apr 17, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada nina modem ya airtel ni nyekundu nasumbuka sana kuweka vocha kila mara ni lazima nitoe sim card niweke kwenye simu ndiyo niweke vocha hivi haina option ya kuweka vocha directly...mbona zile modem za zain nyeusi na logo ya zain ilikuwa kuna keyboard kabisa unaweza type em nisaidieni
   
 2. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  bonyeza pale palipoandikwa airtel menu, then itakuja dial box ambayo utaingiza vocha kama unavyoingiza kwenye simu, halafu unabonyeza send.
   
Loading...