Zimefika saini 73, hizo zimezidi hata zile 70 zilizotarajiwa. Hongeza Zitto na Filkunjombe.
PINDA lazima atang'oka.
Kwanza wabunge wote wa CCM walio upande wa Lowassa, akiwemo yeye pia...
Kwa hili Anna makinda amelivaa bommu na watanzania sijui tumpe adhabu gani?
Wnasheria rudini hapa mtupe mwongozo juu ya hili fraha yetu imepotea ya kumuondoa nduri fisadi,wanyanyasaji na wezi
hizi ndizo hela zilizosifiwa na benno ndulu pamoja na mkulo kwamba zina sifa zote lakini cha kushangaza zinaanza kuachia kwenye utepe waliokuwa wakiusifia
Hivi kuwachia wabunge watusemeeee tuuu na sisi tumenyamaza mawaziri wanaendelea kudunda kila mbuge anaye siamama anaongea mpka anataka kupasuka na pesa ili fisidiwa si yetu watanzania mim nadahan...
Hoja ya mh.zitto kabwe ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na serikali limeonekana kugonga mwamba kwani imeripotiwa kwamba hata kama idadi ya wabunge watakao weka sahihi ikifikia 70...
Tuliondoka April 16 jioni toka Dar kupitia Nairobi kwa Swiss Air, April 17 baadhi ya tuliotoka East Africa na kuunganisha US airways kwenda kutalii Marekani tulionja joto ya jiwe tulioingia pipa...
Fikra za mwanadamu zinapotawaliwa na hulka ya ushabiki zaidi ya ukweli ,maamuzi hutolewa pasipo kuzingatia ukweli.Pia maamuzi hayo huambatana na hoja nyepesi zisizo na manufaa katika utatuzi wa...
Ni miaka kadhaa imepita, lakini mpira bado haujaisha. Timu inayoongozwa na wachezaji 11 bado inaivuruga timu ya Peoples Power. Wachache walishatoka nje ya uwanja ingawa inawezekana wamekuwa...
Nilikuwa nasikiliza majibu ya waziri kutoka swali la zito kabwe kuhusiana na partnership ya Serikali yetu na kampuni moja ya China kwenye ATCL.
Eti walishaingia MoU na wakakubaliana na China...
Ndugu zangu wasomi na wapenda maendeleo katika mkoa wetu tumeridhika au ndo vihela vya zimamoto kutoka kwa akina Mwigulu,Dewji, Nyalandu na akina Chiligati vimetutosha? Singida mjini,Kyengege...
Ufisadi,ubadhirifu etc wa viongozi una mwisho(na sio mbali ni hivi punde tu)kwn hawa viongozi wetu Wanaruka sarakasi wakati wamevaa Taulo,Sisi ndio wasimamizi wa mtihani siku ya kupiga kura na...
Nyumba zao Arusha ni ghali sana
Nyumba zao zipo maeneo yenye kelele (noise pollution)
Nyumba zao ni sharing compound (no privacy) kwa hiyo 'disadvantaged'
'Not cost effective' - Kama nyumba ni...
Goodmorning comrades!
Binafsi nimeguswa kusema hili baada ya kuendelea kustajabishwa na huduma ambazo nimekuwa nikipatiwa ambazo sikuwahi kuzipata kwa haraka na kwa heshima popote pale. Tuna...
Kuna tangazo linalorushwa na Radio free Africa, ambapo mwanaume anamwomba mke wake unyumba lakini mama anaonekana kuwa mgumu anatoa visingizio lukuki kuwa hataweza kutoa huo unyumba kwa mumewe...
Ndege imekodishwa oct 2007,dhamana imetolewa 2008 aprill,sheria inasema airuhusiwi kukodisha mpaka dhamana iwe imetolewa na katika madai ya wallis wanaidai serikali kuanzia 0ct 2007,,tutafika kweli?/
Tangu kujiondoa baadhi ya viongozi CCM na kwenda CHADEMA, umekuwa unatoa kauli za kujifariji na zisizo na point hata kidogo, jamii haikuelewi kabisa, Chama Chako kimeoza, kinanuka, kinakufa...