Hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deofm, Apr 20, 2012.

 1. D

  Deofm JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna tangazo linalorushwa na Radio free Africa, ambapo mwanaume anamwomba mke wake unyumba lakini mama anaonekana kuwa mgumu anatoa visingizio lukuki kuwa hataweza kutoa huo unyumba kwa mumewe, muda mfupi baadaye anaingia mgeni mama huyo anakuwa mchangamfu kupita kiasi. Halafu mwandaaji wa tangazo anatokea na kusema, "pata penzi lake bila kutumia mabavu". Kama ingekuwa ni mwanaume kafanya hivyo wangedai kuwa ana nyumba ndogo.Ushauri wangu kwa wanawake walioolewa, wasifuate tangazo hilo kwani waume zao wataibiwa kirahisi sana halafu watakosa wa kumlilia.
   
Loading...