Dola Milioni 8 Kujenga VIP Lounge JK Airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dola Milioni 8 Kujenga VIP Lounge JK Airport

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BLUE BALAA, Apr 19, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa nasikiliza majibu ya waziri kutoka swali la zito kabwe kuhusiana na partnership ya Serikali yetu na kampuni moja ya China kwenye ATCL.

  Eti walishaingia MoU na wakakubaliana na China wajenge VIP LOUNGE pale JK Airport which was done na China Gvt ilitoa $6m na Serikali yetu ikatoa $2.

  Please correct me huu siyo upuuzi Unawajua VI wa kutumia hiyo Lounge?

  NARUDIA TENA HUU NI UPUUZI NA TUMECHOKA
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mhe. Mbowe: Gharama zilizotumika kujenga VIP Lounge (Dar Airport) ni $8,000,000 hizi ni gharama kubwa sana! CAG afanye uchunguzi juu ya hili
   
 3. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ii pesa si unajenga eapoti nzima kabisa?
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  THIS COUNTRY BWANA? Duh!
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  $8,000,000/= hio lounge ina vitu gani? eapoti yenyewe si viti vyake vimeoza?...P DIDY HEMBU TUAMBIE KUNA NINI HAPO EAPOTI AISE
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mi nilisikia yule waziri akijibu swali la msingi na akawa anatoa hizo data. I got so surprised kumsikia yule waziri. Infact I knew Zitto would have snatched ili aulize katika swali la nyongeza. Thanks GOD Mbowe came inn.

  Ila ni upuuzi wa hali ya juu sana kwa kutumia pesa za mwekezaji na nyie kuongeza zenu eti kujenga VIP lounge.
  How could you do that sehemu ya kunywea watu kahawa kuwa priority
   
 7. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijafika hapo, ila nasikia ujenzi wenyewe ni wakawaida tu!
   
 8. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! kimjengo chenyewe hakifai kuitwa VIP nikama nyumba yamtu,wizi huu mpaka lini?
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  eeh Mungu! Si bure, aliyeturoga keshakufa la sivyo angetuonea huruma
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tanzania shamba la bibi.
   
 11. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ina maana kale kajumba ka paa mbili pale malngo wa kutokea Airport kamelamba dola million nane?? Au wanazungumzia kitu gani?
   
 12. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ukumbi dola milioni 8 jamani!!!! wakati nyumba nzuri ya ghorofa na fenicha ndani na finishing ya ukweli na garden ya uhakika, dola laki 2 (Tsh milioni mia tatu) zinatosha kabisa...hivi tumekuwa wajinga kiasi hiki??ulafi gani huu??
  habari kama hizi mi huwa zinanitoa machozi....
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Hiyo hela inatatosha kabisa kujenga VIP Airport!
   
 14. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,239
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Wana member mlio karibu au na nafasi ya kupata picha ya hako kajumba cha dhamani ya $8,000,000 mtuweke humu jamvini p/se.
   
 15. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Neno KIPAUMBELE kwa ccm halipo

  [​IMG]
   
 16. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwanzo wakati waziri anatoa majibu nilifikili amekosea nikasikia akirudia tena du nikapigwa na butwaa. Kwa kweli kama kuna kijana anasikia na kuona yanayotekea bungeni sasa na bado anajitapa kuwa ni mwana ccm, atakuwa ana matatizo ya akili.
   
 17. m

  makumvi Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani hata mimi sikubaliani na hiko kiwango kikubwa cha pesa kutumika kwajili ya kujenga kichumba waheshimiwa, hizi pesa ni nyingi sana nduguzanguni, kwani pana material gani zilizopelekea gharama kubwa hivi ?
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mpaka siku ukiamua uishe!!!!
   
 19. M

  Magwero JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  2acheni uchama wenzangu...
  Sijui huyu sisikii au huyu nahema...haisaidii sana huwe sisikii au nahema,pesa zilizoliwa ni za watanzania wote including watoto wanao nyonyeshwa..
  Tufanye kama wabunge wetu wa vyote hvi viwili,, kunia mamoja kutetea mamilion ya fedha ya watanzania...!!
   
 20. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Serikali ya CCM ni wezi na waongo sana. Nijuavyo mimi ni kuwa VIP lounge mpya imejengwa kwa msaada wa jamaa mmoja tu kutoka China. Huyu alitaka kujenga hata daraja la Kigamboni kama msaada serikali wakamkatalia. Huyu jamaa ni tajiri kupindukia na anatoa misaada nchi nyingi za Afrika na Zimbabwe wameshampa na uraia kabisa. Kwahiyo pesa hizo USD 2 mil. wameingiza kwenye kapu la CCM na kusingizia zimetumika kujenga VIP lounge.
   
Loading...