Mulika Mwizi: Moses Omuteku wa Credit Reference Bureau (T) Ltd!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mulika Mwizi: Moses Omuteku wa Credit Reference Bureau (T) Ltd!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pokola, Aug 5, 2011.

1. P

Pokola JF-Expert Member

#1
Aug 5, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 717
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Tunajipanga kukabiliana mahakamani.

Wasalaam.

2. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#2
Aug 5, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160
Mkuu, nakushukuru kwa uzalendo wako. Naipongeza pia jitihada yako ya kuzitafuta docs na kuziweka hapa.

Kama ingekuwa zama zile za 1983-85, hawa wangetolewa ktk kipindi kile cha MIKINGAMO, the moment unasikia king'ora, jamaa wako ndani/sero. Walikuwa na kauli yao "mikingamo ni sauti ya umma, ikiwafichua wahujumu uchumi,...... Nani, yuko wapi, na anafanya nini?"

Kwakuwa vijana wa Kitine wako humu ndani, naamini bila chenga atajulishwa.

3. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#3
Aug 5, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
I think we dont need kenyans kukusanya madeni

Natumaini system yetu itaamka japo kwa sekunde mkoja

4. Anko Sam

Anko Sam JF-Expert Member

#4
Aug 5, 2011
Joined: Jun 30, 2010
Messages: 3,216
Likes Received: 17
Trophy Points: 135
Serikali ya CCM imeweka utaratibu mzuri sana wa kuhakikisha nchi hii inakuwa shamba la bibi kwa wageni ili watanzania waendelee kuwa mafukara na watawalike kirahisi.

5. P

Pokola JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 717
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Mkuu inauma sana, Watz tunateseka sana, nafikiri pia upole wetu unatufanya mafukara zaidi. Ee Mungu tutangulie!!

6. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#6
Aug 6, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,167
Likes Received: 5,592
Trophy Points: 280
mkuu tusiwaonee sana nafikiri ni wakati wakujiuliza'
mkulo anapewa ngapi mwisho wamwezi
nakama kuna memo ya rais wapewe kazi nae anapewa ngapi'
kun=mbuka hizo ali pekee baada ya mkulo kuna mwingine nae kati'
god have mercy on we

7. N

Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Aug 29, 2008
Messages: 3,648
Likes Received: 408
Trophy Points: 180
Hii ni kampuni binafsi, iweje udai "inauma sana" na "tunateseka sana"? Wee una hisa kwenye hii kampuni? Kazi kulialia tu kila siku na kupenda kujifanya Wanyonge na Wahanga. Pambaaf!

8. P

Pokola JF-Expert Member

#8
Aug 9, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 717
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Mkuu parcels huwezi kujua tumepata wapi msukumo wa kuandika habari hiyo. Kurunzi letu halichagui private na public entities, kwa kuwa kote wanafanya kazi Watanzania. Uzalendo wetu unatangulia chochote, popote.

9. Smatta

Smatta JF-Expert Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Nov 5, 2008
Messages: 2,343
Likes Received: 277
Trophy Points: 180
Assuming you have enough evidence judging from the attachments on this thread, don't you think its wise if you first reported this to the relevant authority so that legal measures can be taken on the mentioned individuals. Do you know that you posting this information here on a public forum can affect investigations and you can be easily charged with malicious damage if the mentioned persons are found innocent?

Its disturbing to note that you mention the Kenyans name while you fail to mention his accomplice who plays a role in the syndicate just because he is Tanzanian. This indicates two things, either you have posted the information here to soil the name of the Kenyan or you are the accomplice and now that you have been short changed you want to black mail and expose him.

10. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#10
Aug 12, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160

Shut up!! Is that because your fellow thief from Kenya have been mentioned then you write this upuuzi.

I say again shut-up and stop!!

Tanzania is ours not yours. Yours is Kenya

11. K

Kilembwe JF-Expert Member

#11
Aug 12, 2011
Joined: Aug 19, 2009
Messages: 1,132
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
Aaaaa Smatta the gentlemen has mentioned the name of the Tanzanian accoplice Mr Revocatus ( The accountant), and that is fair enough

12. Mnyamahodzo

Mnyamahodzo JF-Expert Member

#12
Aug 13, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 1,854
Likes Received: 220
Trophy Points: 160
Mkuu he is kenyan that is why he smear ......i that we may see mtoa mada as poor thinker while he is greater thinker and patriotic.

Read that post of Smatta then re-read a get the meaning of each para, also learn his english usage. More-over, he use not Kiswahili thinking we could not know him/her.

Smatta, ukija tena andika Kiswahili nami nitaichunguza sarufi uliyotumia na kuthibitisha wewe ni mkenya.

13. Kiberega

Kiberega Member

#13
Apr 20, 2012
Joined: Feb 11, 2008
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
Sitegemei "seriousness" yoyote ktk kushughulikia wezi/wabadhilifu ndani ya serikali ya "sisiem".
WM alisema wakishughulikiwa hao, nchi itayumba. Hivi sasa waona haiyumbi kwa sababu wao wamesimama,
wananchi wanyonge ndio tunaoyumba!
Lazima tutafute namna ya kuwawajibisha hawa, si wenzetu hata chembe. Usalama wa Taifa/raia, umegeuka usalama wa viongozi na wafanyabishara haramu, unawatetea viongozi wabadhilifu dhidi ya raia wema.
"Takakula" nao hivyo hivyo.

Loading...