Ukivaa sketi usipande mtini

Calvic

Member
Apr 6, 2012
10
1
Ufisadi,ubadhirifu etc wa viongozi una mwisho(na sio mbali ni hivi punde tu)kwn hawa viongozi wetu Wanaruka sarakasi wakati wamevaa Taulo,Sisi ndio wasimamizi wa mtihani siku ya kupiga kura na tunajua majibu yao,Tusubiri 2015,jibu litapatikana. Mungu wabariki watanzania masikini na waliokosa uvumilivu kwa viongozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom