NHC hawana mkakati kwa watanzania, just fish Bnez | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NHC hawana mkakati kwa watanzania, just fish Bnez

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MPadmire, Apr 20, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Nyumba zao Arusha ni ghali sana

  Nyumba zao zipo maeneo yenye kelele (noise pollution)

  Nyumba zao ni sharing compound (no privacy) kwa hiyo 'disadvantaged'

  'Not cost effective' - Kama nyumba ni million 90 mpaka 180 haifai kwa mfanyakazi au mkulima

  Mtu anaweza kununua kiwanja milion kama 45 na kujenga nyumba ya million 50 - Ambayo ni kubwa, ina parking,garden, privaty and away from Noise.

  NHC kabla ya kuanza miradi wasome market ya eneo kwanza.

  Kwa Arusha NHC wamechemsha kabisa, hawatapata mteja.

  Nawashauri NHC Wapangishe hizo nyumba kwa Watanzania, biashara ya kuuza it is too expensive and not preferable.

  Arusha kuna nyumba room 3 mpaka 4 nzuri, privacy
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mdau asante sana kwa mada hii nzuri. Huyu Nehemiah Mchechu nasikitiaka amekuwa kama si mtanzania. Zile nyumba kama unavyosema sijui hata kama zina standard maana kwanza unalazimika kulipia kabla hata hujaiona, pili zipo kiuswahili sana, tatu bei zile ni kwa ajili ya wahindi, waarabu, na wasomali kupitia migongoni mwa watu wasio na uzalendo. Mtanzania wa kawaida wa kipato kidogo hawezi kabisa kunufaika na shirika hili. Ni kweli anataka kufanya biashara na kulifufua shirika but pia aangalie sana suala la super profit. Na nyumba hizi kwanza angelenga watanzania asili kwanza wawezeshwe na kununua hizo nyumba. At the same time morgage finance is too expensive, unakopa mkopa wa 50 million unalipa over 120m in 15 years. Huu ni unyonyaji. Tunategemea kuwa angalao hiyo interest iwe single digit maana ni long-term. Ajue kuwa sisi watanzani si wote wezi kama ilivyoainishwa kwenye ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali 2012. Wengine tuko waadilifu na mishahara midogo sasa tutawezaje kununua nyumba za NHC? This is too bad.
   
 3. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Asante Ndugu Maane,Jinsi nyumba zilivyojengwa, No privacy, A lot of noise, na pia watu wengi hawapendi kushare compoundHali ya hewa mbaya - Joto kali katikati ya mjiHawa NHC hawaja nunua Viwanja, Sasa ina maana gharama za Ujenzi ni Million 180?? There is a fishy Bznes hereHata waarabu na wazungu hawatazipenda hizo nyumba kabisa. Wahindi ndo wanapenda katikati ya mji, hata hivyo wahindi wa Arusha ni economic, hawatanunua. Wahindi wananunua viwanja na wanajenga nyumba.Huyu Nehemia Msechu alisikia watu wa Arusha wanapesa akafikiri wanatoa tuu bila mpango. Isitoshe Wachimbaji wa Tanzanite Wameachwa kuwa majambazi na Tanzanite One Sasa inamilkiwa na vigogo Wa serikali Wana apolo na wananchi wa Arusha wameachwa na UmasikiniViwanja vingi sehemu nzuri nzuri wana miliki Vigogo wa Serikali na wabunge wa CCM.Vigogo kutoka mpaka Dar es salaam wana viwanja 2 au 3 Arusha wakati wenyeji hawana hata kimoja. Shame on Whole Ruling party
   
Loading...