Ufisadi vs PP teams, mprira umefikia pazuri au vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi vs PP teams, mprira umefikia pazuri au vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by warea, Apr 20, 2012.

 1. w

  warea JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni miaka kadhaa imepita, lakini mpira bado haujaisha. Timu inayoongozwa na wachezaji 11 bado inaivuruga timu ya Peoples Power. Wachache walishatoka nje ya uwanja ingawa inawezekana wamekuwa makocha na wameingiza wachezaji wapya. Orodha ya Mafisadi (List of Shame). Bado naona mlinda mlango na namba 6 wamo uwanjani, na forwaders namba 9 na 11. Mwaka huu tunabadili kanuni za kuchaza mpira! Majina yawachezaji wapya walioingia bado?
   
Loading...