Singida tumelala au ndo tumefika?

Quanta

Member
Dec 31, 2011
55
24
Ndugu zangu wasomi na wapenda maendeleo katika mkoa wetu tumeridhika au ndo vihela vya zimamoto kutoka kwa akina Mwigulu,Dewji, Nyalandu na akina Chiligati vimetutosha? Singida mjini,Kyengege, maji ni kitendawili, hospital ya mkoa na hosptal ya Sokoine dawa zimepelekwa madukani,vituo vya afya kwetu Ntwike ,Shelui na Mgongo vilivyopo IRAMBA mambo yaleyale .Jaman Singida tunawapa kiburi sana hawa magamba let us CHANGE.
 
Mayu upo juu! Umetokea Kyengege nini? Hebu ongea in generality, ila hata hivyo unapaswa kuchukua hatua hatua
 
Ndugu zangu wasomi na wapenda maendeleo katika mkoa wetu tumeridhika au ndo vihela vya zimamoto kutoka kwa akina Mwigulu,Dewji, Nyalandu na akina Chiligati vimetutosha? Singida mjini,Kyengege, maji ni kitendawili, hospital ya mkoa na hosptal ya Sokoine dawa zimepelekwa madukani,vituo vya afya kwetu Ntwike ,Shelui na Mgongo vilivyopo IRAMBA mambo yaleyale .Jaman Singida tunawapa kiburi sana hawa magamba let us CHANGE.

Unajua mkuu watu wa singida sio tu kwamba wamelala bali ujinga ndo bado uko katika hatua ya juu. KUMBUKA KWAMBA MTAJI MKUU WALIOWEKEZA SSM HAPA SGD NI KATIKA UJINGA. IMAGINE HADI LEO HII, BAADA YA KUSOMA HII QUOTE YAKO NIKASIKIA MTU ANASEMA YAANI SINGIDA HATUTAKI MACHAFUKO KABISA???!!!! UKICHAGUA UPINZANI MAISHA YATAKUWA MAGUMU ZAIDI. IMAGINE HUYU NI MSOMI AMBAYE KWA MIAKA HAMSINI YA UHURU BADO ANA MAWAZO YASIYOENDANA NA M4C? NIKASEMA MUNGU WANGU, HUYU ANAHITAJI HUMAN AND MIND SET TRANSFORMATION YA NGUVU. HIVYO SINGIDA WAMEPUMBAZIKA NA VILE VI MISAADA VIDOGO VIDOGO AMBAVYO WAMEKUWA WAKIPEWA HAPA MJINI, KASKAZINI NA HATA MAGHARIBI. SASA HIVI TUPO TAYARI KUWAANIKA HAWA MAGAMBA WA SINGIDA KWA GHARAMA ZOZOTE ZILE ILIMRADI HAKI IPATIKANE. ALUTA C. HAKI ITAPATIKANA HATA IKICHELEWESHWA NA MAGAMBA. MIND SET CONFUSION ZITAISHA TU PALE TUTAKAPOAMUA KWA PAMOJA KUWEKA UONGOZI MWINGINE WENYE UTHUBUTU WA KUFANYA MAMBO
 
Singida tubadili mind set. Tujikomboe kutoka utumwani mwa mawazo potofu. Tusiwaze kanga, elfu tano tano na tisheti za kijani zenye ugamba
 
MMEJENGEWA UWANJA WA KISASA WA MPIRA,JENGO LA KISASA LA CCM,STENDI MPYA,HOSPITALI NA MJI WENU UMEFANYA
MGODI WA MABEKI TATU TANZANIA NZIMA.
MIMI NAWASHAURI MSIHAME CCM HIYO NDIYO ITAKAYO WAKOMBOA.

na hata upinzani ukichukua nchi jitengeni kama sudan kusini muongozwe na ccm.
 
Ringo acha ujinga.
Kesho nakuja arusha ntakupa za mbavuni
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom