Uhuru wa habari;kituo cha radio sunrise arusha chapongezwa kwa habari za live

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
WAKATI dunia ikiadhimisha siku ya uhuru wa habari duiniani,kituo binafsi cha Radio Sunrise cha jijini Arusha kimemwagiwa sifa kwa kurusha matangazo ya moja kwamoja hususani matukio na mgeni rasmi katika maadhimisho hayo,mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo aliyewakilishwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru bi Mecy Silla.

Aliyasema hayo wakati akifungua sherehe za maadhimisho hayo zilizofanyika katika hotel ya Golden Rose Jijini Arusha, ambapo waandishi wa habari na wadau wa habari walihudhulia na kutoa wito kwa vyombo vingine vya habari kuiga mfano huo
.
 
Kwa kweli hawa jamaa wana jitahidi sana wamewapita mbali sana hii redio kongwe tya redio five, redio five wamebaki na unafiki nafiki tu...Hongera zenu Sunrise
 
Kwa kweli hawa jamaa wana jitahidi sana wamewapita mbali sana hii redio kongwe tya redio five, redio five wamebaki na unafiki nafiki tu...Hongera zenu Sunrise
Mimi binafsi nawapongeza kwa jinsi wanavyo fuatilia maswala mengi na kutoa taarifa za papo kwa papo!!! Nawapa hongera saana kama wanaingia hapa kwenye mtandao wa JF waendelee na kasi kama waliyoonyesha kipindi cha uchaguzi Arumeru!!! Hongera saana Sun Rise Radio Mungu wa Mbinguni awabariki!!!!

 
Back
Top Bottom