Mbatia njaaaa?? , kashubokea ubunge??? Au katimiza haki yake ya kisiasa na kikatiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbatia njaaaa?? , kashubokea ubunge??? Au katimiza haki yake ya kisiasa na kikatiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, May 4, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nijibiwe swali hapo juu mwenye weledi na hili swala.............
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nataka nimpe uwaziri, period.
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  maisha magumu mkuu... aligombea tena kwa mateso makali akakosa......... sasa unakuja bwerere atafanyaje?
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huyo njaa zinamsumbua...na yeye anataka kujenga hekalu la dola laki 7, kwanini akatae, akikataa yeye mwingine ataletwa atakula sasa? hata simlaumu..ingekua hata ni mimi na wewe tungekubali kupewa uwaziri:disapointed:
   
 5. King2

  King2 JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yote majibu
   
Loading...