Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, May 2, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi nakunjua jamvi kwa mapendekezo vote vote vote wano kubali John pombe Maghufuri awe PM wetu mpya
  wanao kubali sema ndioooooooooooooooooooooo
  wnao kataaa sema hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  nwahojiiiiii wnao kubali vs wnaokataaaa
   
 2. Junior80

  Junior80 Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jembe lipo poa,tatizo watambwela kumpa maana hakawi kuwa umbua faster wote
   
 3. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo umenena mkuu jamaa hawezi kukubali kuburuzwa kma pinda huyu hachelewi kuwapa wajiuzuru wote ndani ya liasaa limoja
   
 4. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Safi sanaaaaaaaaa kama ataupata u PM
   
 5. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  safiiiiiii
   
 6. O

  Osama Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  freeesh magufuri juuuuuu
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tutapiga mbizi hadi kwenye mchanga (joke) atleast anaafadhali si kama mtoto wa mkulima feki
   
 8. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mnamsifia mnamjua vizuri magufuli nyie??? hakuna waziri muongo kama yule!!!!
   
 9. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hili ndio tatizo letu Watanzania......kupenda ....kupenda .......kupenda

  Wekeni vigezo vya waziri mkuu tunayemuhitaji katika status hii halafu wekeni na wasifu wake..........sio CV (as hata hawa wanaotuhumiwa leo wapo wenye CV nzuri tu) bali pia na mapungufu yake yaanikwe yeye na wengine then tuta-suggest..........sio suala la NDIO au HAPANA

  Nawasilisha
  Ushabiki na mapenzi ya kuona ndo umetufikisha hapa.........
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hafai, na kwa ufupi hakuna yoyote anayefaaye aliyeko kwenye system
   
 11. K-killer

  K-killer Senior Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magufuli kidogo anaafadhali!
   
 12. H

  Hoodie Micky New Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr.Magufuli anafaa kuwa PM wetu kwasababu ana kila sifa na sababu yakuchukua nafasi hiyo
   
 13. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja 100% huyu jamaa anatisha. Sema mgonjwa cjuw wamempiga kipapai?
   
 14. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ni raisi tu mwenye mamlaka ya kupendekeza Waziri mkuu, then bunge wanampitisha
   
 15. z

  zamo Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuambie hizo sifa unazosema anazo msishabikie tuu
  hvyo hivyo 2005 watu walimshabikia. jk sasa hivi walia unaesema safi sana twambie wasifu wake isije ikawa kisasa bomoa bomoa na kugawa masamaki ndicho mnashabikia ninashaka na ushabiki huu
   
 16. B

  BAGENI Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jembe yuko poa kwa wenye mcmamo wa kimapinduzi,jamaa hawezi kuficha uchafu hata kidogo.mnaomuona mwongo sio yeye ni mfumo wa serikali ndo unaomkwamisha,ila yeye ni jembe ukilinganisha na pindwa.
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Huyu alikuwa dalali wa nyumba za serekali !.
   
 18. z

  zamo Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeshasema mfumo unamponza tayari hatofaa kwa sababu ya mfumo so tuache ushabiki
   
 19. z

  zamo Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  binafsi namwona ni walewale tu akina pleasant tofauti yake ni hana Tabia ya udokozi aka ufisadi tu Ila ni manafki wa hatari
   
 20. z

  zamo Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....sahihisho...(pleasant ).... typing error ...lowasa
  .
   
Loading...