My president is white...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My president is white...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Thinker96, Dec 11, 2011.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hili ndilo zuri nililoliona.....,na haya ndio mabaya niliyoyaona....yataje lakin.
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  nasikia kuna hadith moja ya bwana Mtume Mohamad (s.a.w) na maswahaba zake: wakiwa pamoja waliona mzoga wa mbwa kando ya njia unanuka kweli,maswahaba wakaziba pua kwa vidole,bwana mtume s.a.w. alisema hivi: huyu mbwa alikuwa na meno meupe sana! (nisahihishwe!)

  FUNDISHO: hata kama jambo ni baya kiasi gani,unaweza kutafuta upande mzuri wa jambo hilo (ambao hautakuumiza). Kweli jamaa ni WHITE hakuna lingine!
   
 3. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mr. president haya . . .
   
Loading...