Hukumu ya kesi ya mh zaituni vs nsanzugwanko ni leo

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Hukumu ya Kesi ya uchaguzi jimbo la kasulu vijijin kati ya mh zaitun<mbung-nccr> na mshitaki mr nsanzugwanko ni leo hii.niko mahakamani nitawajuza linalojili. Madai ya nsanzu ni kwamba mh. Zaituni alimkashifu kuwa ni mchawi kipind cha kampen kuwa ni mchawi alimuua tedy<rip> mbunge wa zamani kslu. Jaji anaitwa koroso. Mh zaitun anatetewa na advocate rweyemamu,rweyongeza na ndyanabo. Nsanzugwanko anatetewa na advocate musa. Stay tuned!
 
Kesi ilipangwa ianze kusikilizwa saa 3. Had sasa jaji hajafika.watu ni wengi na bado tumezuia kuingia mahakamani.wote washtakiwa na wastaki tuko nje
 
Zoez la kuingia mahakaman sio zuri saana.wameanza na akina mama,wameingia wazee.umati ulioko apa sijui kama tutapata nafasi ndani
 
Mkuu pamoja sana, nilitamani sana kuwepo ksl bahati mbaya leo nina appointment IFM saa sita, nakutegemea sana kamanda utupe kinachojiri huko.
 
Nimejipenyeza had mahakamani ndani.tunasubili jaji,ata maadvocate wote na makarani wamo ndani.simu tunalazimishwa tuzime.mkiona nimeshindwa kupenyeza msg jua nimezima.nitawaandikia badae kwa summary
 
mkuu hukumu inasomwa kasulu au kigoma? Anyway kila la kheri mama Zaituni.
 
Hukumu inasomwa kasulu. Samahani jina la jaj nilitaja koroso..anaitwa aruna songoro.jaji anaingia sitakuwa naripot had nisikie na badae niwape kitu kamili
 
Nimejipenyeza had mahakamani ndani.tunasubili jaji,ata maadvocate wote na makarani wamo ndani.simu tunalazimishwa tuzime.mkiona nimeshindwa kupenyeza msg jua nimezima.nitawaandikia badae kwa summary

Weka vibration hawakagui hao, ni mikwara tu hiyo. Tupia tupia tunyama ili wambali tupate hamu ya kuchungulia uzi. Ila mpaka hapo nahisi unautendea haki uzi wako.
 
Mh zaitun ametangazwa mbunge halali.wakat hukumu inaendelea kusomwa, nsanzugwanko alitoka mahakaman akaondoka.kwa kifup hakimu kasema mashahid walikuwa ni hear say.ni maandamano ya magari na pikpik.
 
Mtandao unasumbua ila jaji kasoma judgement kwa mombo.ni kidedea apa kasulu
 
Mtandao unasumbua ila jaji kasoma judgement kwa mombo.ni kidedea apa kasulu
 
Acha asome hata kichna we subilia nani kashnda tu! Koz hata kama hujui hyo lugha utajua tu nani kashnda! Thanks 4 ur updates kaka
Mtandao unasumbua ila jaji kasoma judgement kwa mombo.ni kidedea apa kasulu
 
Mama Zaituni alikosea kumwita Danyeli Nsazugwanko Mchawi ... Angemwita Kihiyo.Huyo Jamaa alijisheheni na cheti cha ualimu daraja la tatu... alipokwenda Australia akajivika koti la graduation la mkewe ikisha akachonga vyeti vya bandia eti ni stashihada ya uchumi...! Nasikia hukumu hii leo ilipotolewa aliacha gari lake na kukimbilia nyumba jirani kujihifadhi na mayowe na mazomeo yaliyopazwa na umma wa wana kasulu.... Mwisho wa uzabizabina wake ni hii leo... katika uchAguzi wa 2005 eti alikuwa katika mtandao wa mzee malecela .. alipoona nambari zinamkanganya akawa ni kachero wa akina Rostam na wana mtandao wenzake kuuza uwongo...kwa ahadi aliyopewa akapata uwaziri mdogo wa vijana.. alipomtoga jenerali ulimwengu kwa kumbeza..siri ya ukihiyo ikawafikia walio wakimfikiria kuwa yeye ana degree ya economics ya masters kutoka Australia ! Sasa wana jamii fatilieni hii ishu kama mimi nasema uwongo...
 
Hapo nimekuelewa , kuwa hima empire ndiyo iliyomngoa!!,

Hawa watu wa ajabu sana! Wao,kila waliposhindwa,ilikuwa kukimbilia mahakamani!
Ni imani yangu,wapinzani wote walio kuwa wameshinda,hakuna hata mmoja,ambaye alishinda kwa hila,au kuchakachua!
 
Back
Top Bottom