JK aita waandishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aita waandishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Koffie, May 2, 2012.

 1. K

  Koffie JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF,
  Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
  Nawasilisha
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du sijui prof lipumba atakua waziri wa nini?
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  kwani yeye mbunge wa wapi?
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  alikuwa anasubiri hukumu ya yule mwizi wa maboksi ya kura segerea
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  labda waziri wa nchi ofisi ya rais in charge of tume ya mipango
   
 6. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Anatarajia kutoa taarifa ya safari yake ya Brazil maana alikuwa bado hajaongea na waandishi wa Habari, hakuna cha Mawaziri wapya. Hilo bado anatafakari kwa kuwa list imegoma bado Wizara tatu zinakosa watu.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pessimistic.......... failure to launch
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Anawabadilishia mawaziri wizara!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yawezekana Makongoro Mahanga kuwepo ndani ya baraza jipya.
   
 10. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,232
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  Acha wafu wawazike wafu wenzao.............!!
   
 11. K

  Koffie JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni vigumu kwa Lipumba kuingia, kwa sababu si mbunge. Na hata akiteuliwa kuwa mbunge it means Bunge la dharura liitishwe ili aapishwe (ubadhirifu wa pesa posho kwa wabunge wote). Ni vigumu,, ongeleeni watu wengine
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ngoja tusimsemee mana kesho si mbaali-coz unaweza sema hiki then yeye akaibuka na mambo mengine kabiiiiisa-eg kilimo kwanza
  ngoja tumsubirie tuone atasemaje
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa tabora wa kuteuliwa na raisi
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa wetu labda anataka kuwatangazia umma kupitia kwa waandishi wa habari kua kuanzia leo yeye kusafiri nchi za nje kuhudhuria misiba na kwenda kutanua brazil kucheki samba chicks au kule uk/states kuangalia investments zake zinaendaje sasa basi...hatasafiri tena na kwamba kuanzia leo misiba itakua inahudhuriwa na viongozi wa ngazi za chini i.e waziri mkuu since huyu bwana(PM) hana kazi sana pale ofsini kwake zaidi ya kuzomewa na wabunge wakati wa kipindi cha bunge:biggrin1:
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... eti huyu huyu Makongoro Mahanga (na yale madhambi yake yote NHC) sasa ndiye Waziri mpya wa Fedha huyu, my foot!!!

  Hili ni baraza lililoshindwa hata kabla ya kuwekwa wazi hewani. Wizi wa maboksi ya kura hadi kuhamisha kabisa hazina ya taifa pale Benki Kuu huyu jamaa.


   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Yaani hujui kwamba ilikuwa inasubiliwa hukumu ya leo tu ili waendeleze sanaa zao, na kama hujui Makongoro anapewa Uwaziri kamili na sio unaibu.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Mkuu humu JF kuna jukwaa la Jokes ni kwa nini usiende kule ili uwe comfotable?
   
 18. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Yah inawezekana kabisa kwani ni mbunge halali..... hivyo anaweza kuwa waziri
   
 19. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mbona tuko nae lushoto? Hata dalili za kurudi dar hana, ....
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yeuwii itabidi tuingie msituni
   
Loading...