Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

basi la sumry dar-kigoma lateketea kwa moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Capital, May 3, 2012.

 1. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 966
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  ndugu wana jf, basi la abiria la kampuni ya sumry likitokea dar kwenda kigoma limeteketea kwa moto katika eneo la chinangali mkoani dodoma. awali basi hilo liliharibika na kukaa muda mrefu eneo la gairo.
  source: mmoja wa wahanga wa mkasa huu.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,610
  Likes Received: 4,187
  Trophy Points: 280
  Naamini abiria na dereva wamesalimika.
   
 3. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Poleni wahanga wa ajali hii
   
 4. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,222
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Poleni ndugu zetu mungu atawasaidia
   
Loading...