Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chanzo: www.wilguy-jibebe.blogspot.com. Mahusiano baina ya mtu na jamii yake ndiyo yanayomfanya mtu au afanikiwe au asifanikiwe. Mahusiano baina ya mtu na mtu hutegemea uwezo wa mtu husika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ni aibu kila napo ingia kutizama blog ya ikulu na kuta bado matukio yaliyopo huko mwisho ni ya mwezi Aprili tena sherehe za muungano.Je hakuna matukio mengine huko ikulu ndugu zangu.Sisi watu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
980 Views
JK, sikia hili. Nina wiki sasa toka nifike hapa Burundi na hizi habari za kina Ngeleja na mawaziri wengine wafujaji wa nchi mpaka huku zimeenea na watu wanatushangaa sana mpaka wanadiriki kusema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Babu wa Loliondo, Mchungaji Ambilikile Mwasapile Serikali imesema haina takwimu sahihi za vifo vya wagonjwa waliopoteza maisha kutokana na kukatisha dawa za kurefusha maisha baada ya kunywa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza jambo kwenu wana jamvini mlio na data za uhakika toka huko nyumbani. Hivi badala ya kina Ngeleja na wenzake kuachishwa kazi kwa manufaa ya umma, JK atawafungulia kesi ama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman hawa jamaa mi wananionea sana.simu yangu yapata mwezi sasa wananichukulia vocha zangu kwa muda wanaojiskia hata km haipigwi wala ctumi sms wala ctumii internet.nkiwauliza wanadai simu yangu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza tangu chuo hiki kianzishwe amepatikana raisi toka diploma mwaka wa kwanza ambaye amejinyakulia kura nyingi toka kwa diploma wenzake na kuwabwaga wagombea wenza wawili wanaotoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
imekua kawaida sasa hasa kwa mtandao wa airtel kutoa vocha zisizo na ubora pale inapokwanguliwa ipo wap mamlaka husika,wananchi hatujui pakushtaki watu kibao wana vocha za airtel zilizoharibika...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna adha ya upungufu wa MITA za luku pamoja na nguzo. Imekuwa ni kupokezana, mwaka jana taarifa ktka ofisi za Tanesco mita zilikuwa haba. Cha kushangaza mwaka umeanza, wateja wote wahaohitaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi sioni umuhimu wa jk kulipangua baraza la mawaziri,ni bora angewaacha panya walionona kuliko kuingiza wengine wenye njaa,wanapokezana nchi yetu kama mbio za vijiti nasi twatizama tu,kama waziri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna tatizo la mfumko wa bei sasa hivi nchini kote,tena kwa kiwango cha juu sana.kwa mwananchi wa kawaida kila kukicha ni aheri ya jana.tunalo bunge kubwa kuliko nchi za kenya,uganda,na hata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
From heaven to Hull: Family kicked out of Bermuda after 20 years as UK overseas territory clamps down on immigrants from Britain Stephen Tomlinson and his family ordered to leave British...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habarini wanajamii wenzangu,leo katika peruuzi zangu nimekutana na taarifa inayo mtaja Mr Benjamin Choppy (mzungu) kuwa ni katibu mkuu idara ya mawasiliano na teknologia katika ofisi ya makamu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau,nimeenda ofisi za wilaya ya ilala nkakutana na watu nyomi na Cv zao,kumuuliza mmoja wao akanambia post za JKT kwa watu wa form 6(freshers) zimetoka..So changamkien kwa wale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Polisi wa Tanzania mkoani Mara wameendelea na mauwaji kama kawaida yako ni kwenye mgodi wa nyamogo, wamemuua kijana mmoka na mwingine kumjeru vibaya... jamani serikali ya CCM mnataka kutuua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bei ya unga inapaa hama ndege aina ya concord. Kilo 25 ya unga wa sembe mara ya mwisho (tar. 02/04/2012) nilinulia kwa sh. 18,000 tu. Nimekwenda jana nimekuta mfuko wa sembe kilo 25 unauzwa sh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa katika BWANA,naomba kuelimishwa kwanini makarani walio wengi katika ofisi za serikali kuwa wana nyodo na majibu mabovu kwa wateja,hayo yote nimeshuhudia mwenyewe mahakamani,idara za elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kwa nini majaji wa Tanzania wanakaa kiti cha mbele kwenye magari yao ya kazi? Wakati waheshimiwa wote wana kaa viti vya nyuma
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…