Nani anahusika na uptodating ya blog ya ikulu . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anahusika na uptodating ya blog ya ikulu .

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjukuu wa bibi Pili., May 8, 2012.

 1. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni aibu kila napo ingia kutizama blog ya ikulu na kuta bado matukio yaliyopo huko mwisho ni ya mwezi Aprili tena sherehe za muungano.Je hakuna matukio mengine huko ikulu ndugu zangu.Sisi watu wa IT kiasi mnatutia wasiwasi kama hakuna wa kufanya kazi hiyo nipeni mimi basi.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tz zaidi ya uijuavyo!! Na bado utasikia kuna watu wa IT wanalipwa mamilion kwa mwezi bila kufanya kazi.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  "Uptodating" ndio nini?
   
 4. javascript

  javascript Senior Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ndo walewale utasikia ' antivirus yangu amekufa'
   
Loading...