Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kelele zimekuwa nyingi sana hapa mjini kuhusu ishu hii sasa hata ss twaweza kujua,kuona na kupambanua kama kiasi hicho cha pesa kinaendana na jengo lenyewe?pamoja na mazingira kwamba ni Italy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna matangazo kwenye radio yanayoelezea kuwa hata kulazimisha mapenzi kwa mkeo ni ukiukaji wa haki za binadamu, Hebu niambieni kuwa kuna watu wanabadilika jinsi ya kufanya mapenzi na wake zao kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Scanty nourishment and the permanent lack of vitamins made people of the Bubal tribe ask their only wealth - cows - for help. The tribers learned that eating the menstrual matter of cows helps...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifurahi na baadhi ya Watumishi mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo katika Jengo la Golden...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mawaziri wa jumuiya ya afrika wameafikiana kuwepo na ruhusa ya wanaichi wa jumuiya hiyo waishio mipakani kufanya biashara ktk nchi yoyote kwa umbali usiozidi mita 30! Hii yaweza kuwa neema na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti watanzania 30,000 wanakufa kila mwaka kwa sababu ya magonjwa ya uchafu, Eti 60% hadi 80% ya watanzania wanaoenda hospitali ni kwa sababu ya magonjwa yatokanayo na uchafu, Na tunatumia Tshs...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Ndugu wana JF Mwezi May ni mwezi mahususi ambapo Wanafunzi ktk Vyuo vikuu mbalimbali nchini hupata fursa ya kutimiza haki ya yao ya msingi kikatiba( yaani kuchagua au kuchaguliwa ktk ngazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkurugenzi kiwanda cha kuchambulia pamba cha s&c cha bunda bw. Donald gachuma muluga, amefariki dunia jana asubuhi huko bunda. Tumwombe mungu ampumzishe kwa amani kwenye makao yake ya milele. Ameni.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Husika na Kichwa cha Habari chajieleza hapo juu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi JK na hawa wasaidizi kutoka katika taasisi binafsi na siyo utumishi wa umma yeye anawajuaje ufanisi wao na integrity yao kama siyo kutembea majina ya maswahiba na marafiki kwenye briefcase...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wananchi wa Tanzania wanawalipa hela waajiriwa wa serikali wasiofanya kazi kabisa. Kila sehemu wanaajiri wataalamu wa IT lakini sioni wanachokifanya. Yaani website ya mashirika hadi ya nchi...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari , Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ina playlist ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo Rais Mstaafu BWMkapa alienda mahakamani kisutu kama mtetezi wa Balozi mahalu juu ya ununuzi wa nyumba kwa ajiri ya ubalozi wa Tanzania nchini Itali, Katika utetezi wake kasema yeye alipata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Polisi mkoani Arusha imewatia mbaroni wauaji watatu waliomuua kwa kumchinja mwenyekiti wa chadema kata ya Usa River wilayani Arumeru,Msafiri Mbwambo na tayari wamefikishwa mahakamani. Kamishna wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Mikutano ya chadema imekuwa ikivutiwa na watu wengi kama tunavyojionea katika Tv na magazeti pia tunajisomea habari kuwa baadhi ya wanacha wa ccm wanajinga chadema kama ni kweli hilo,lamuhimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
baada ya kufanya maandamano ya kushinikiza upatikanaji wa umeme hatimaye mafundi wa Tanesko wameweka kambi mjini humo ili kuhakikisha umeme unapatikana. Hali ya umeme imeanza kuwa nzuri na hii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bw. Ngeleja akiwa waziri alitamani na aliamini kila mtu ni lazima amtambuwe kuwa yeye ndiye Waziri hata pale anapokiuka taratibu za kazi kwa tasisi zingine. Kumbukeni alivyosababisha kumfukuzisha...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
EAST AFRICA HERALD: Obama wants bounty on head of ‘madman' Joseph Kony
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Baada ya kimya cha muda sasa tunaona mafundi wamerudi kazini kwenye ujenzi wa jumba lake maeneo fulani jijini dar. Je alikuwa anasubiri kuona kama bado amebaki kwenye baraza la walaji ndio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…