salam wana JF. nimemsikiliza RC kandoro akitoa maelezo dhidi ya hatua ya DC aliyeamua kuacha kazi kuwa amefanya hivyo kwa sababu anajua/ameambiwa kuwa hayupo katika orodha mpya. hivi huwa taarifa...
Habari zenu wanandugu,
Pamoja na kwamba taasisi na wadau mbali mbali wa tasnia ya urembo wanajaribu kuielemisha jamii kuwa mashindano ya umiss au umiss sio uhuni lakini nadhani mtakubaliana nami...
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewatahadhalisha Wanawake watakaobakwa kutooga au kubadilisha nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi wa kumtia hatiani Mtuhumiwa...
Mpendwa msomaji, wewe na mimi, sote ni wanadamu, na bila kujali vyeo vyetu, utajiri wetu, umaarufu au usomi wetu, au umri wetu sisi sote tutakufa na kuiaga dunia hii. Marafiki na ndugu zetu...
MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Musimihi, Tarafa ya Ilongero, Wilaya ya Singida, Juliana Ibrahim (52), ameanguka kizimbani na kisha kupoteza fahamu baada ya kuhukumiwa yeye na mtoto wake kutumikia...
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia...
Kesi ya Lulu imeendelea kutajwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu. Cheti cha kuzaliwa kinaonesha kuwa Lulu anaitwa Diana Elizabeth Michael; umri miaka 17; wakati maelezo yake Polisi yanaonesha...
nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note
watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua...
baada ya rais kuteua baraza jipya la mawaziri je waziri mkuu naye atabadilishwa? Maana yeye ndo shina hasa kwa kushindwa kusimamia mawaziri wengine. Naombeni ufafanuzi jamani?
Ingawa sayansi imeisogeza dunia mbele kuliko wakati wowote, uvumbuzi mwingine ni hatari kwa usalama wake. Hivi karibuni Google ilizindua gari linalojiendesha lenyewe. Ni hatua kubwa ingawa magaidi...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 08/05/2012 // Habari // 2 Comments
Imeandikwa na Khatib Suleiman, Zanzibar; Tarehe: 7th May 2012
MKAZI wa Magomeni Makuti mkoani Dar es Salaam, Othman...
Akilihutubia taifa katika maadhimisho ya Mei Mosi , JK alilaani tabia ya watumishi wa umma ambao kila wanapohamishiwa huwa wanajenga nyumba ya kuishi. Hivi namuuliza JK anajua adha ya nyumba za...
Habari wa ndugu,
Mimi nina kakibanda kangu kigamboni kule kibada(eneo la mikwambe) sijahamia ila tatizo linalonitatiza na kushindwa kuhamia ni wezi,kwani hilo eneo watu wengi hawajahamia hivyo...
MADAKTARI wamehadharisha watu wanaobakwa kwamba wakishatendwa hivyo wasioge au kubadili nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi muhimu wa kumtia hatiani kisheria mbakaji.
Imeelezwa...
Dr Faustine Ndungulile Mbunge wa Kigamboni (ccm)
Utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka*mitano
Leo asubuhi nimeshiriki kwenye semina iliyoandaliwa na wakala wa vizazi na...
a nilikuwa nasikia tu jamaa anaumwa, anaumwa sa nilokuwa sijaona anaumwa nini, na yukoje ila nimeiona picha yake kwenye hii link MANYARA LEO: Pamoja na Kuugua Sajuki aendelea kupiga mzigo...
Salaam.
Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku anaongea wakati amelala. Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani.
Naombeni kujuwa tatizo ni nini?
Asanteni