Kauli ya Abbas Kandoro dhidi ya DC aliye acha kazi Kimolo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Abbas Kandoro dhidi ya DC aliye acha kazi Kimolo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by papillon, May 5, 2012.

 1. p

  papillon Senior Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  salam wana JF. nimemsikiliza RC kandoro akitoa maelezo dhidi ya hatua ya DC aliyeamua kuacha kazi kuwa amefanya hivyo kwa sababu anajua/ameambiwa kuwa hayupo katika orodha mpya. hivi huwa taarifa zinafika kwa wahusika kama wanateuliwa ? kwa mtazamo wangu,mimi naona Kandoro ameonyesha udhaifu kuonyesha kuwa ukiteuliwa unajua kabla, au kaonyesha ni jinsi gani siri zinavyotolewa na watumishi wa serikali. karibu utoe maoni yako
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Kandoro ni gamba! Arudishe lile shangingi la million 250 alilonunua kwa millioni mbili.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona mawaziri walijua wanapigwa chini na hawakujiuzuru!
  Kandoro kheri ungekaa kimya bse nilitarajia mamlaka iliyomteua ndo ingetoa neno sio wewe
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ugonjwa wa kuvujisha siri za Serikali zimeenea kama kansa. Nitashindwa kuamini kama hatachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za usalama wa Taifa!
   
 5. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Licha yakutia aibu serikali kwamara yapili baada yazile vurugu mby,Ameaamua kumzohofisha maana keshahisi muelekeo wahuyo Dc-CDM!
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Kandoro ame-break the codes of conduct

  Sijui itakuaje
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hao wateule kaambiwa na nani?
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kandoro kathibisha kuwa siri za ikulu/serikalin zinavuja mapema sana-
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Na mimi nimemsikia Kandoro na niseme tu Kandoro amefanya kosa kubwa sana kuanza malumbano kupitia vyombo vya habari. DC ameachia ngazi kwa hiari yake mwenyewe na hakuna mahali popote aliposema kuwa anaondoka kwa sababu jina lake halipo kwenye orodha ijayo ya wakuu wa Wilaya!

  Kama Kandoro angekuwa na chembe ya busara basi angemtakia huyo DC mapumziko mema, lakini kitendo cha kumchafua DC ni sawa na kutibua nyongo na sitoshangaa huyo DC akaamua kumwaga ugali!
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nami leo nimethibitisha kwamba serikali inaugua degedege maana kauli ka zile ni za wagonjwa wa degedege
  jamaa ni hopeless kabisa huku ni kujisahau kulikopitiliza kumbe sasa yeye na serikali yake ndio wanajikosha
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...kambale wanafanya kazi yao. Wote wana ndevu.
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Msimtukane baba mkwe wangu nimemmega sana mwanae wakati tunasoma Jitegemee 2007-2009.
   
 13. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu,,niangusage sambi ni zako,,,
  ikitokea mtu akajinyonga hapo utahsika,,tehetehe hehe hehe,,
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nilipokuwa nasikiliza maelezo ya Kandoro nimejihisi kama vile naota, maana kwa umri wake kuongea UWONGO wa aina ile inasikitisha sana!
  Kama alidhani zile ni propaganda za kuihifadhi serikali yake MFU, basi washauri wake ni WAPUMBAFU, na yeye mwenyewe ni MPUMBAFU!
  Kama kazi ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya inafanywa na Rais, kwanini suala hilo liongelewe na Mkuu wa Mkoa kabla ya ku'mature?...au rais ana utaratibu wa kuwajulisha Wakuu wa Mikoa siri ya uteuzi wake?
  Kingine kinachoshangaza zaidi, je hata kama Mkuu huyo wa Wilaya angeambiwa kuwa hatakuwemo kwenye list mpya, je hii ndiyo ingekuwa sababu ya kujiuzuru?..sidhani.
  Kwa mtu wa darasa la kawaida tu, kauli za Kandoro ni za AIBU KUBWA na hazikustahili kuongelewa na mtu wa Nafasi yake, achilia mbali UMRI wake...its a stomach-blow to himself!
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba nikukosoe!! umekosea sana!

  Serikali haiumwi degedege..!!

  Ina kipindupindu!! yaani inaharisha!
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama kwa bahati mbaya au nzuri binti huyu ni member wa JF, basi wewe binafsi ndiye utadhalilika kupita viwango!
   
 17. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kandoro ametusaidia kujua kuwa wakuu wa mkoa na wakuu wa wilaya yafaa wafutwe tubaki na wakurugenzi wa maendeleo maana wanatumikia vyama vyao. Kwa jinsi alivyosema, kwanza uteuzi wa wakuu wa wilaya huwa hawajui mapema kihivo, na Kandoro awe na bahati wiki ijayo JK atangaze wakuu wa wilaya. Lakini bado makatibu wakuu wa wizara na kurugenzi mbali mbali mbali za wizara husika. Alichosema pia ni kama naye anahusika kuteua wakuu wa wilaya, maana kwa maneno yake ni kama hata anajua ni lini watatangazwa, tunamwomba JK amfute ukuu wa mkoa kabla ya kutangaza wakuu wa wilaya ni mzandikiki na mhafidhina.
   
 18. D

  Di biagio Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana alimegwa na wengi kipindi hicho hivyo si rahisi kumtambua.
   
 19. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aibu nyingine kwa serikali utendaji mbovu rais hana kazi hata wakuu wa wilaya anapangiwa muingize fulani kazi ipo
   
 20. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huyu Kandoro ni tatizo sana. Mbona hoja zake huwa hazina msingi? Huyo DC ni wa kupongezwa sana.
   
Loading...