wakuu mwaka jana mwezi wa tisa niliamua kunua share za kampuni ya ndege ya Precision...
nilinunua share 3000 kwa bei ya sh 475 kwa kila share..
nimemua kuziuza baada ya kuona hazifanyi vizuri...
Naomba mwenye kujua location ya chuo cha Azania collage of management DSM anielekeze, kama hupajui naomba upite tu bila kuchangia nipo serious ninashida ya kufika hapo chuoni...
Vodacom na Air tel, wanatuibia sana kwenye internet juzi nimeweka elfu 20 yangu hata haijakaa kwenye modem na sijadownload chochote??? KWELI HIZI KAMPUNI ZETU SIJUI KAMA TCRA WANAISAIDIA SERKALI...
Binafsi nimekerwa sana na utoaji huduma wa hizi ofisi za usajili wa vizazi na vifo. Kuna kila dalili ya harufu ya rushwa ili uweze kupata huduma. Kipindi ofisi hizi zinaanzishwa walikuwa watoa...
Wana JF.
Kila siku zinavyokwenda hali ni mbaya kwa gazeti letu pendwa la Mwanahalisi. Kutokana na udhaifu wa kiutendaji wa gazeti hilo sasa hivi limekuwa gazeti pekee linalobakia kwenye vibanda...
Huyu jamaa naona ni bora tuu aache kazi. Shirika haliwezi kabisa! leo asubuhi ni aibu tupu, jana usiku ni aibu tupu! Watangazaji wakati wa habari wanapata shida sana na ni aibu. kila kukicha...
Kuna ajali kama zaidi ya tatu hapa Kongowe.
Barabara zimefunga kabisa.
Ajali ya kwanza semitrela imelalia tax watu zaidi ya watatu inasemekana wamekufa
Ajali ya pili semitrela imelalia gari...
Chuo hiki kimekuwa moja ya vyuo bogasi hapa nchini mbali ya kwamba serikali imewekeza pesa nyingi sana. Uongozi wa juu ni mbovu na serikali unauona lakini inafumbia macho. Mwenyekiti wa council...
Hawa airtell wamekuwa wakitangaza kuwa ukinunua moderm zao za tsh 30000.unapata ofa ya kutumia internet kwa miezi 6 huo niungo mkubwa na utapeli kwa watanzania wameshawaona Watanzania makondoo...
Taarifa zilizotufikia hivi punde nikwamba rais Kikwete amemteua mwandishi wa habari wa ITV kituo cha Arusha, Novatus makunga kuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro
Wakuu nimetatizika na kauli ya mtoto wa mkulima wakati anazungumzia uteuzi wa Ma DC pale aliposema kuwa ameshangazwa na uamuzi wa bw Kimolo kuresign wkt alikuwa anajua fika kuwa hatakuwa miongoni...
Katika tukio la kushtua mwekezaji mmoja huko Wilayani Hai aliyefahamika kwa jina la Mushi ambaye alikuwa anamiliki shamba kubwa la takiribani eka Mia tano,ameanguka na kupoteza maisha hapohapo wkt...
Wadau naomba mnipe msaada wa haraka jana nimepigiwa simu na namba 0272549255 nikijulishwa kwamaba leo mchana nitafanyiwa interview ya ombi langu la kazi kwa njia ya simu.
Wakati hajamaliza kusema...
Baadhi ya hizi blog zina matatizo ya kiufundi. Ukifungua ni matatizo matupu.zinafunguka kwa mwendo wa konokono na pengine utalazimka hata kufunga programu zingine zote kusubiri ifunguke.sidhani...
jamani uongozi wa vodacom Arusha mbona mnatutesa wateja wenu,leo ni siku ya tatu network yenu imekua ya kusuasua sana na hamja tupa taarifa yeyote kama kuna matengenezo.naipenda voda but kwa...
Nilikwenda TRA ku-renew road licence, baada ya kujaza fomu nikapeleka dirisha no.5 kukadiriwa then nikaenda kulipia NMB. Baada ya kulipia doc zinabaki huko halafu unakuja ndani TRA kusubiri kuitwa...
Sikutaka kulileta hili lakini inaonekana sina ujanja. Katika kikao kilichopita wabunge wetu wengi walionekana kukerwa zaidi na ripoti za CAG na zile za kamati kuhusiana na mambo mbalimbali. Wizara...