matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Katika tukio la kushtua mwekezaji mmoja huko Wilayani Hai aliyefahamika kwa jina la Mushi ambaye alikuwa anamiliki shamba kubwa la takiribani eka Mia tano,ameanguka na kupoteza maisha hapohapo wkt akihojiwa na kikosi maalum cha wanasheria na maafisa ushirika kutoka wizara ya kilimo na ushirika.
Umauti pale alipotakiwa kuonesha mpango kazi alionao kuhusu shamba hilo,yeye amaze a anao na akafuata karatasi zake garini Kumbe maskini!Aliporudi na kukabidhi karatasi hizo alikuwa anatetemeka akaanguka na kufa hapohapo.
Habari zinasema kuwa alikwa na matatizo ya kuanguka muda mrefu.