TETESI mwandishi wa habari wa ITV,Novatus makunga ateuliwa kuwa mkuu wa wilaya Hai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TETESI mwandishi wa habari wa ITV,Novatus makunga ateuliwa kuwa mkuu wa wilaya Hai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, May 9, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zilizotufikia hivi punde nikwamba rais Kikwete amemteua mwandishi wa habari wa ITV kituo cha Arusha, Novatus makunga kuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,055
  Trophy Points: 280
  Ni zamu yake sasa kuyaona maisha kwenye mwanga bora
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,256
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa jamaa wanakuaga na maslahi kwa taifa kweli? kuna mtu ana job description yao? mmh haya hongera zake bhana amalizie kibanda chake
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duh inawezekana jamaa alikuwa NYOKA hatukujua tu sasa ameamua kumlipa kimaslahi
   
 5. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hongera zake huyo jamaa ni mchapa kazi, una maana Raisi ametangaza wakuu wa wilaya????

   
 6. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,091
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  mwengine aliyeteuliwa ni wa wilaya ya rufiji, huyu jamaa alikuwa na Ridhiwani pale city garden hivi punde !
   
 7. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 3,611
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
  Si hata habari zake zilikuwa zikielemea magamba?
   
 8. M

  Mtokambali Senior Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Vyeo vya kupumzikia baada ya kufanya kazi yenye maslahi kwa taifa!
   
 9. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahmed R Kipozi naye kaula. Jerry Muro Je?
   
 10. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu haachi kuteua waliotemwa na wananchi eg Mlingwa, Kwangw, Mwamoto
   
 11. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]
  MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA VITUO VYAO VYA KAZI [/FONT]
  [FONT=&quot]NA. JINA KITUO CHA KAZI

  1. Novatus Makunga Hai

  2. Mboni M. Mgaza Mkinga

  3. Hanifa M. Selungu Sikonge

  4. Christine S. Mndeme Hanang

  5. Shaibu I. Ndemanga Mwanga

  6. Chrispin T. Meela Rungwe

  7. Dr. Nasoro Ali Hamidi Lindi

  8. Farida S. Mgomi Masasi

  9. Jeremba D. Munasa Arumeru

  10. Majid Hemed Mwanga Lushoto

  11 Mrisho Gambo Korogwe

  12. Elias C. J. Tarimo Kilosa

  13. Alfred E. Msovella Kiteto

  14. Dkt. Leticia M. Warioba Iringa

  15. Dkt. Michael Yunia Kadeghe Mbozi

  16. Mrs. Karen Yunus Sengerema

  17. Hassan E. Masala Kilombero

  18. Bituni A. Msangi Nzega

  19. Ephraem Mfingi Mmbaga Liwale

  20. Antony J. Mtaka Mvomero

  21. Herman Clement Kapufi Same

  22. Magareth Esther Malenga Kyela

  23. Chande Bakari Nalicho Tunduru

  24. Fatuma H. Toufiq Manyoni

  25. Seleman Liwowa Kilindi

  26. Josephine R. Matiro Makete

  27. Gerald J. Guninita Kilolo

  28. Senyi S. Ngaga Mbinga

  29. Mary Tesha Ukerewe

  30. Rodrick Mpogolo Chato

  31. Christopher Magala Newala

  32. Paza T. Mwamlima Mpanda

  33. Richard Mbeho Biharamulo

  34. Jacqueline Liana Magu

  35. Joshua Mirumbe Bunda

  36. Constantine J. Kanyasu Ngara

  37. Yahya E. Nawanda Iramba

  38. Ulega H. Abadallah Kilwa

  39. Paul Mzindakaya Busega (mpya)

  40. Festo Kiswaga Nanyumbu

  41. Wilman Kapenjama Ndile Mtwara

  42. Joseph Joseph Mkirikiti Songea

  43. Ponsiano Nyami Tandahimba

  44. Elibariki Immanuel Kingu Kisarawe

  45. Suleiman O. Kumchaya Tabora

  46. Dkt. Charles O. F. Mlingwa Siha

  47. Manju Msambya Ikungi (mpya)

  48. Omar S. Kwaangw' Kondoa

  49. Venance M. Mwamoto Kibondo

  50. Benson Mpesya Kahama

  51. Daudi Felix Ntibenda Karatu

  52. Ramadhani A. Maneno Kigoma

  53. Sauda S. Mtondoo Rufiji

  54. Gulamhusein Kifu Mbarali

  55. Esterina Kilasi Wanging'ombe (mpya)

  56. Subira Mgalu Muheza

  57. Martha Umbula Kongwa

  58. Rosemary Kirigini Meatu

  59. Agness Hokororo Ruangwa

  60. Regina Chonjo Nachingwea

  61. Ahmed R. Kipozi Bagamoyo

  62. Wilson Elisha Nkhambaku Kishapu

  63. Amani K. Mwenegoha Bukombe

  64. Hafsa M. Mtasiwa Pangani

  65. Rosemary Staki Senyamule Ileje

  66. Selemani Mzee Selemani Kwimba

  67. Lt. Col. Ngemela E. Lubinga Mlele (mpya)

  68. Iddi Kimanta Nkasi

  69. Muhingo Rweyemamu Handeni

  70. Lucy Mayenga Uyui

  OFISI YA WAZIRI MKUU,

  DAR ES SALAAM.[/FONT]
   
 12. N

  Nguto JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,274
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha ajabu kwani hata Betty Mkwasa ni mwandishi wa habari!!
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,954
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Huyu Novatus ni mchapa Lager mzuri sana! Lakini nampa pongezi kwa uteuzi huo.
   
Loading...