Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Bw. Clement Mshana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Bw. Clement Mshana.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by supermario, May 9, 2012.

 1. s

  supermario Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa naona ni bora tuu aache kazi. Shirika haliwezi kabisa! leo asubuhi ni aibu tupu, jana usiku ni aibu tupu! Watangazaji wakati wa habari wanapata shida sana na ni aibu. kila kukicha tatizo ni yale yale. Mitambo hvyo tuu. Naangalia TBC sabubu sina kituo kingine naweza pata habari za nyumbani kupitia dstv...mara mia itv wangekuwa kwenye dstv. Huyu jamaa asepe tuu.
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  mkuu tido aliondoka na tbc1 saizi imebaki tbc ccm.
   
 3. M

  Murrah Senior Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC siasa tupu hana lolote la maana kama shirika la utangazaji tangu Mshana aishike ni matatizo tupu, hawana hela, enzi za Tido wahisani walikuwa wanamwaga mihela kuiendeleza iwe kama BBC kaaja Nchimba ni degree fake zake kaiua, utasikia wanaanza kumlaumu Mengi . Siku wakifunga kituo watamtafuta and by this time it will ba too late.
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Clement Mshana atafanya nini kama hapewi fungu la kununulia vifaa muhimu?
   
 5. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Fungu apewe na nani? wakati mwingine unatakiwa ukatae uteuzi ndio maana mwenyekiti wa NEC wakati anateuliwa alisema yeye hana jipya labda sheria zitakapo badilika.

  TBC huyu jamaa wakati anatangaza tu alikuwa amepooza sasa ukurugenzi unataka mbinu za ujasiriamali, ukiuuza leo TBC kwa sekta binafsi na vifaa hivyo hivyo utashangaa.
   
Loading...