Bloggers: Nafikiria kuacha kuangalia/kusoma habari za baadhi ya blogs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bloggers: Nafikiria kuacha kuangalia/kusoma habari za baadhi ya blogs

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masulupwete, May 9, 2012.

 1. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]Baadhi ya hizi blog zina matatizo ya kiufundi. Ukifungua ni matatizo matupu.zinafunguka kwa mwendo wa konokono na pengine utalazimka hata kufunga programu zingine zote kusubiri ifunguke.sidhani kama suala ni picha au video nyingi kwa sababu kuna blogs zina mapicha na video kibao lakini unafungua kiulaini tu na wala hupati shida ya kuendelea na programu zingine ulizozifungua.Sitataja mtu lakini naomba wamiliki wa blogs wanaojijua blogs zao zina tatizo hili warekebishe haraka kabla hatujawakimbia.[/FONT]
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ili blog yako isichukue muda mrefu kuload unatakiwa upangilie kurasa ziwe na post chache sana. Mfano post5 hadi 10 tu,zikizidi hapo wasomaji wako watakimbia kwakuwa kilamtu anataka ku save time.Pili post zisiwe ndefu sana kwani nayo inasababisha blog kuload muda mrefu na pia wasomaji nao wanachoka kusoma post ndefu. Tazama,JF post 25 ni ukurasa1 ndio maana ukigusa thread inafunguka.
   
 4. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hii ni kituko kingine!Hamna kitu kama hicho.
   
 5. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  very true
   
Loading...