Msaada kwenye tuta...huu Muungano siuelewi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta...huu Muungano siuelewi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MSATULAMBALI, May 3, 2012.

 1. MSATULAMBALI

  MSATULAMBALI Senior Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ZANZ.jpg ZANZ.jpg

  zanzibar wanakila kitu kama nchi sasa? Sijauelewa huu muungano
   
 2. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  uungano hewa huu,tena wa kinyonyaji haufai
   
 3. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Duuu!. Ndio kusema huu muungano uliopo ni feki?. Zenji mna kila kitu. Sisi wa Tanganyika ndio imekula kwe2. Hatuna chochote cha kujivunia. Viongozi wote ni wa jamhuri ya muungano. Labda tujivunie uwepo wa mabalozi wa nyumba kumi.
   
 4. m

  mzaire JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona hawaitumii au kazi imeanza? maana nimesikia Wazanzibari wanasema Ijumaa ya kesho watajitoa mhanga aidha kwa kufa au kufungwa kwa huo msswada wa Katiba iwapo SMZ itawazuia mhadhara wao utakaofanyika viwanja vya Maisara majini Zenji asubuhi wakati kuna taarifa ya kusimamishwa mihadhara yote, suburi tuone kesho !!!
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii ndoa ya tanganyika na zanzibar inaonekana haina ridhaa ya wanandoa wenyewe, bali ni ya kubakana tu. Tutegemee madhara makubwa sana yatakayotokana na ndoa hii kabla ya kufikia maamuzi ya kuivunja.
   
 6. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wapitishe referendum...hilo ndilo suluhiso
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  bado bajeti yao wachukue bara
   
 8. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hakuna muungano usiokuwa na migogoro. Kinachohitajika ni amendment procedure kila kunapokuwa na matatizo. Angalia federation za Canada au Belgium. Zote zinamatatizo, lakini hukaa na kujadiliana jinsi ya kusuluhisha matatizo yao
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Sasa Mkuu sisi hapa tunakatazwa kuujadili hayo matatizo tutayaondoa vipi ?
   
 10. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mke mwema anatoka kwa bwana.Sijui huy├╣ wa kwetu anatoka kwa bwana!
   
 11. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  nachukia maneno ya aina hii! Hatuna cha kucompromise na hawa Wapemba wabaguzi.
   
 12. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe mzee, kwamba VIONGOZI wetu ndio wenye matatizo kwenye hili suala. Vyovyote itakavyokuwa, ni wazi kwamba ili hili suala lipatiwe ufumbuzi, Watanzania tunawajibika kulijadili hili suala kwa kina. Ni dhahiri kwamba sababu za muungano za mwaka 47 hazina nguvu tena.
   
 13. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Punguza Munkari papa, kwani hiyo ndio hali halisi. Tumia muda wako kidogo usome Federation zote za Dunia nzima uone kamaa kuna hata moja ambayo ni Perfect. By the way, kumbuka kwamba FEDERATION nyingine ya East Africa inakuja, tena kwa kasi ya hali ya juu, ambayo bila kuweka vigezo imara vya kutatua migongano mbalimbali, tutakuwa tunarudia makosa yaleyale ya 1964.
   
Loading...