Umewauliza......??? Na je kama ulifanya hivyo walikueleza nini.......???Vodacom na Air tel, wanatuibia sana kwenye internet juzi nimeweka elfu 20 yangu hata haijakaa kwenye modem na sijadownload chochote??? KWELI HIZI KAMPUNI ZETU SIJUI KAMA TCRA WANAISAIDIA SERKALI AU WAPO TU MPAKA MTU AIBIWE SIMU
Ishu hapa siyo bundle wala nini...ishu ni WIZI...mnatuchanganya na hizo lugha hakuna lolote!...mi hiyo bundle ilikwishaga in no time bila ya kudownload wala kuitumia extensively.....sijanunua tena airtime yao....wala sijui modem niliitupia wapi...dah mi nilishashindwaga na hawa jamaa!!Kwa vodacom ni lazima ufanye conversion kutoka airtime kwenda DATA BUNDLE nenda kwenye Message ya modem yako kama ni elfu elfu 20,000 andika 1GB tuma kwenda namba 123 kama ni 2000 andika 50MB kwenda same namba. ukikwama ni PM
Hawa jamaa ni wezi tu hizo bundle zenyewe ukiweka kufuangua JF home page 1 hr.
daaaaaaaah umewakomesha kweli, Airtel wako safi nina karibu miezi mitatu sasa natumia sem iko slow wakati mwingine.....Ishu hapa siyo bundle wala nini...ishu ni WIZI...mnatuchanganya na hizo lugha hakuna lolote!...mi hiyo bundle ilikwishaga in no time bila ya kudownload wala kuitumia extensively.....sijanunua tena airtime yao....wala sijui modem niliitupia wapi...dah mi nilishashindwaga na hawa jamaa!!
kama unataka speed tumia Voda na kama unataka urahisi tumia Airtel maana kama siyo mtumiaji sana wa net unaweza kulipa 2500 unapata 400MB na zikiisha unaweza kuongeza saa yoyote siku yoyote.....Sasa tutumie mtandao upi? wanaotumia zantel watuhabarishe hali ikoje huko.
hivi, nikitaka kuweka cheka internet kama ishirini kwa wakati mmoja inawezekanaje? yaani nisiwe na haja ya kutuma sms "CHEKA INTERNET" mara 20. (20Mb*20 = 400MB) kwa shilingi 10,000!Kwa vodacom ni lazima ufanye conversion kutoka airtime kwenda DATA BUNDLE nenda kwenye Message ya modem yako kama ni elfu elfu 20,000 andika 1GB tuma kwenda namba 123 kama ni 2000 andika 50MB kwenda same namba. ukikwama ni PM
hivi, nikitaka kuweka cheka internet kama ishirini kwa wakati mmoja inawezekanaje? yaani nisiwe na haja ya kutuma sms "CHEKA INTERNET" mara 20. (20Mb*20 = 400MB) kwa shilingi 10,000!
How, nipe procedure, message kwenda 123 other than cheka internet inarudisha error, nili research kabla sijaulizwa swalindugu jifunze kusoma nakuelewa hapo juu wamekujibu kabla ya kiswali chako. nunua bandle ya 50mb kwa buku 2, soma na uelewe mkuu.