vodacom Arusha imekuaje mbona toka juzi mtandao haupatikani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vodacom Arusha imekuaje mbona toka juzi mtandao haupatikani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wizzo, May 10, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  jamani uongozi wa vodacom Arusha mbona mnatutesa wateja wenu,leo ni siku ya tatu network yenu imekua ya kusuasua sana na hamja tupa taarifa yeyote kama kuna matengenezo.naipenda voda but kwa mpango huu ntahamia kwa wenzenu.
  embu tembeleeni zaidi maeneo ya mererani na mbuguni
   
Loading...