Mulika mwizi!! Dalili za usanii tra mwenge

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Nilikwenda TRA ku-renew road licence, baada ya kujaza fomu nikapeleka dirisha no.5 kukadiriwa then nikaenda kulipia NMB. Baada ya kulipia doc zinabaki huko halafu unakuja ndani TRA kusubiri kuitwa unapewa road licence tu bila copy ya malipo au form ulizojaza. Wasiwasi wangu hizi road licence nyingine ni fake na zinatoka hapohapo TRA. Sasa mimi nitaweza kuthibitisha vipi nikikamatwa kama hiyo road licence nimeipata TRA, wakati copy malipo na application form wamebaki nazo hapo, na nilipewa road licence disc tu. Naomba utaratibu huo ubadilishwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom