Wizi wizi mkubwa wa airtel kwenye moderm zao za promotion. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wizi mkubwa wa airtel kwenye moderm zao za promotion.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Micro E coli, May 8, 2012.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hawa airtell wamekuwa wakitangaza kuwa ukinunua moderm zao za tsh 30000.unapata ofa ya kutumia internet kwa miezi 6 huo niungo mkubwa na utapeli kwa watanzania wameshawaona Watanzania makondoo wanapeleka mambo kiwizi wizi tu ukweli ni kwamba wanakupa kifurushi tu cha 200mb kila mwezi wakati tangazo lao linasema utapata kutumia kwa miezi sita.Hivi wakuu hakuna namna ya kuwachukulia hatua wezi wa namna hii mwenye kujua taratibu au sheria za kibiashara atujuze tuone uwezekano wa kuwatia hatiani wezi hawa nawasilisha wakuu mwenye kutaka kuangalia tangazo lao lilivyo atizame hapo kwenye ubao wa matangazo ndani ya jukwaa hili la JF.
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Unaweza kuwashitaki kwa kukiuka makubaliano kwa maana offer yao iliahidi huduma ya miezi sita bila masharti.
  Otherwise inakuwa ni kukuchukulia pesa kwa njia za ujanja.
  Kesi kama hizi ikifunguliwa na ukashinda Airtel yaweza kufilisiwa maana itabidi implipe fidia kwa kila aliyenunua modem hizo akijua ya kuwa atakuwa na huduma kwa miezi sita bila kukoma.
   
 3. s

  simon james JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Januari Makamba uko wapi utoe mwongozo tujue we kijana mchapa kazi?
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  unaharibu sasa kumtaja mnafiki
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  nawapenda sana airtel. Voda ndo mafisadi mkuu
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Muwe makini hao Airtel ndio wanafadhili huu mtandao msiwaseme vibaya!
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  We kiazi kweli kuna kitu wanaita terms&conditions apply(vigezo na masharti kuzingatiwa) hicho ndo kinga yao so kawadanganye viazi wenzio huko mashambani na si hapa !!!Mi nimehamia zantel unlimited downloads kwa 5000/= kwa wiki hapa nakaribia kumaliza muvi ya nne comptr sijaizima wiki ya pili sasa ni full kudownload!!:flypig:
   
 8. MSATULAMBALI

  MSATULAMBALI Senior Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jaribu kununua hata kile kifurushi cha 2,500 400mb wanachosema kinadumu kwa mwezi, ni uongo, mi haijawahi kudumu hata wiki, just kusoma email na kujibu na hapo no download, hawa jamaa sio wakweli
   
 9. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  WEWE Mjinga huwezi kutumia Lugha ya kistaarabu??

  Pimbi wewe!!
   
 10. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu kumbe wakiwa wafadhili wa JF jamvi letu ndio ruksa kutuibia sisi wenyewe wanajamvi mkuu wizi ni wizi tu sipende kuhalarisha wizi kwa ufadhili haya mambo ya wizi wa ujanja ujanja Watanzania tuanzekuukemea kabisa.
   
 11. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajinga ndo waliwao, mie nilijiondokea siku nyingi baada ya kugundua utapel huo. Nilienda kujiunga na ttcl modem kwa kweli tangu nimejiunga nao nina enjoy sana kwani wana vifurushi mpaka vya Tsh 500/ kwa saa na ni unlimited.
   
 12. m

  mmteule JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280  mkuu umesahau.... unanunua modem elfu 30, then unwapamelfu 6 cash wanakupa mb 200 ambazo zinadumu kwa mwezi but unaweza ukatumia even siku moja zikaisha then unatoa elfu sita kwa mwezi unaofuata until unapofikisha miezi sita ndio unaanza kununulia vifurushi vya kawaida kwenye hiyo modem. so hiyo modemu inauzwa elfu 66,000/ siyo elf 30 kama wanavyoudanganya uma wa watanzania. shame on u Airtel inaboa sana
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Amia Airtel.
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Airtel kumbe ni wezi kiasi hiki? Basi msihofu kwani January makamba atasikia kilio chetu but tatzo huwa mnafiki.
   
 15. P

  Professa Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nashukuru sana kwa kutufahamisha juu ya wizi huu. Nusura niingie mkenge. God bless you
   
 16. kimpe

  kimpe JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 80
  vigezo na masharti kuzingatiwa
   
 17. Z

  Ziege liebe Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah...i love jf, ths wk niliplan kwenda nunua iyo moderm....nishafunguka, bora nikanunue ttcl
   
 18. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasiktika san wakuu hamjafanya utafiti na kuwalaumu airtel bure kabisa, OK airtel now wana vifurushi vipya tena na vizuri zaidi ok piga *154*44 reli. ok kuhusu mb unamaliza kabla ya muda ni matumizi yako tu but kama matumizi madogo utamaliza muda huo ok MIMI SIO MTUMISHI WA AIRTEL BUT NI MTEJA NA NAJUA MENGI YAO
   
 19. m

  mchaga89 Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we nawe pimbi... Kwl nimeanza kuona umuhimu wa shule ! Sio unalalamika serikal mbya kumbe hata we2 huna ki2 kichwani tafakari wizi una2letea story za vifurushi
   
 20. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  nimewahimkuwashitakinairtel tcra leo ni zaidi ya miezi sita shauri halijaanzwa kusikilizwa ndio maana wana viburi na hasa mtindo wao wa kutuunganisha na huduma ambazo hatujaomba na kutukata pesa
   
Loading...