Utata:Nisaidieni inawezekana ma-DC walikuwa wanajua kuhusu uteuzi tangu March! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata:Nisaidieni inawezekana ma-DC walikuwa wanajua kuhusu uteuzi tangu March!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by matongo manawa, May 9, 2012.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu nimetatizika na kauli ya mtoto wa mkulima wakati anazungumzia uteuzi wa Ma DC pale aliposema kuwa ameshangazwa na uamuzi wa bw Kimolo kuresign wkt alikuwa anajua fika kuwa hatakuwa miongoni mwa wateule.
  Je nikweli?kama ni kweli kulikoni wakawaacha ma DC hao ktk nyadhifa hizo huku wakiwa wameshateua wengine?
  Pia km ni kweli nini tija ya kuwaacha kwenye nyadhifa viongozi hao ilihali mamlaka za uteuzi zimewaona kuwa
  pengine utumishi wao hauna tija?
  Je mamlaka za uteuzi akiwemo Pinda hazioni kuwa utaratibu huu wa uteuzi unavunja moyo wa kufanya kazi?yaani pale mhusika anapojijua kuwa hatakuwa tena DC anaweza hata kuihujumu serikali?

  Nisaidieni.
   
 2. a

  ajabu Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naona wazee wa tupo kwenye mchakato hawajajipanga vyema,pole mtoto wa mkulima
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mahakamani judge anaangalia evidence tu. DC ameandika barua ya kujizulu, orodha mpya imetoka siku chache baada ya yeye kujiuzulu. Sasa kama mtoto wa mkulima na Kandoro wanasema alijua kuwa hayuko kwenye orodha mpya ya Ma-DC basi nao watoe ushahidi (physical evidence) kwamba kweli walimjulisha kuwa hatokuwepo.
   
 4. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kama kweli kasema hivyo kuna tatizo
   
 5. b

  bob68 Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Alishajua hayupo maana ni mfuasi EL kutokana na makundi ya magamba mpango ni kutokomeza huo mtandao wa EL
   
 6. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,302
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  We umeshaambiwa walishajulishwa toka March kwamba uteuzi ujao hawatakuwepo sasa unatatizika nini?mbona wengine wote walishajua, huyo kimolo ni nani asijue?
  Na kwa taarifa tu ni kwamba mkataba wake ulianza 2006 na ulitakiwa uishe 2010, ameongezewa muda bado analalamika.
   
 7. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we ARV acha utani kwenye ishu nyeti kama hii, ukipewa mkataba ukiisha unatakiwa upewe mkataba mpya kimaandishi na sio kuongezewa muda ki blabla, unataka kutueleza kwamba mkataba wao ulipoisha 2010 waliongezewa muda kivipi? na hawa walioteuliwa tena mkataba wao unaanzia 2010 au? Kwenye hii ishu ya ma DC serikali iliteleza tokea 2010 ilitakiwa immediately baada ya Serikali kuingia madarakani ma dc wangeteuliwa upya or kupewa mikataba mipya ya kazi kama ilivyokuwa kwa mawaziri the same to rc's. Inatakiwa ieleweke kuwa hawa ni viongozi wa kisiasa ambao ukomo wao unakoma na rais anapokoma kuwa rais so baada ya uchaguzi tu rais mteule angetakiwa awateue upya.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ma-DC wote hawana tija kwa taifa.
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na mimi nimejua rais hata ongezewa mkataba 2015
   
 10. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,130
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  Pinda Kuuambia Uma kuwa DC wa Mbeya alikuwa na Taarifa kuwa ataondolewa basi Pinda Amevunja Moja wapo ya Viapo vya kutunza Siri za Serikali...
   
 11. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  DC Kimolo anaonekana mshindi, kwa kuwawahi hao wanaomsema vibaya. Ingekuwa si mwajibikaji si wangeshamtimua kitambo? Pinda na wenzake wakubali kwamba Kimolo was clever than 'em, NUKTA.
   
 12. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kauli yeyote atakayoitoa Pinda haiaminiki kutokana na kauli zake zenye utata huko nyuma; Kimolo DC aliyejiuzulu kutoka wilaya ya Mbozi ni mwelewa na msomi kuliko huyo Pinda na mpayukaji mwingine aitwae Kandoro!! Hata hivyo hiyo team ya maDC iliyotangazwa juzi ni mkusanyiko wa wanamagamba watakaolibeba jeneza la ccm 2015; huwezi kuwateuwa watu wachafu kama Norman Sigalla kuwa DC wa sehemu nyeti kama Mbeya na ukategemea ushindi!!
   
 13. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Waachen wafu wazike wafu wao
   
 14. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  hivi haujui Pinda ni bingwa wa kusema uongo kuliko chochote hapa duniani
   
 15. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  DUDUWASHA NAOMBA NIKUJUZE MTOTO WA MKULIMA HANA TOFAUTI NA AKILI YA HUYO MTOTO HAPO JUU ANAEKOJOA AKIJUA BAADA YA MUDA MCHANGA UTAKAUKA ..AMEJIONYESHA WALIVYO MAKENGE ALAFU WANAPIGA KELELE NANI ANAVUJISHA SIRI ZA SERIKALINI KUMBE NI YAO BINAFSI YANAWATEUA WATU ALAFU YANAWATANGAZIA KWAMBA YULE AYUPO YULE AYUPO SHAME ON THEM
   
Loading...