Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa huyu ndugu le Mutuuz inaonekane hakuna siku amesema niko kazini au ninaenda kuaandaa shamba au kufanya jambo lolote la maendeleo zaidi ya le mutuuz...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Si lahisi kuamini, lakini ndivyo ilivyo nchi hii. Na hapa Halmashauri ya wilaya Musoma imetokea. Mkurugenzi wa halmashauri hii, Bwana Karaine K.Kunei,amefanya madudu ya kufa mtu kwenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mheshimiwa machemuli mbunge wa CHADEMA- UKEREWE. Natumai umepona ama unaendelea vema baada ya kuumizwa. Nia ni kutaka kujua kwa nini umekaa kimya namna hiyo kwani hatusikii operation vua gamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Beware G8 motives, JK, others cautioned "Currently Tanzania is satisfied with food production by its farmers, therefore, it is possible to empower them for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana Jamvi jana ktk taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku nilimsikia kiongozi Nape Nnauye akiwaeleza waandishi wa habari kuwa,mpaka sasa viongozi wa CCM waliohama ni 6 tofauti na vyombo vya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa naangalia kipindi cha Ahadi ni Deni kinachorushwa na Runinga ya ITV. Kuna mambo mawili ambayo niliyaona na kuyasikia ambayo ningependa kuwashirikisha: Kwanza, ninachoweza kusema ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo asubuhi muda wa saa moja kasoro, basi la daladala limepinduka eneo la sabasaba. Basi hilo lilikua linatoka Mbagala kuelekea wilaya ya Kinondoni na lilikua limejaa abiria. Wanajamii mna habari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona kuna ujenzi wa Bar Katika eneo la Botanic Garden ya Magomeni, Wahusika Halmashauri ya wilaya na Maliasili mnalionaje swala hili lina manufaa kwa wakazi wa Jiji la dsm. Faida Kubwa ya baa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kuna habari nimezipata kutoka mtu wa ndani NSSF kuwa pesa zetu zimeliwa zote na serikali sasa wanakuja kutunga sheria mpya mwezi wa saba bungeni kuwa mwanacha hutapewa pesa zake mpaka...
1 Reactions
89 Replies
10K Views
Posted by Mwanamayu | May 14, 2012 Hawa DAWASCO siwaelewi kwani toka last week nikifungua bomba la maji ya DAWASCO nasikia harufu sasa sielewi kama dawa imezidi, au hizi mvua zimeingiza uchafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
niaje wana jf.ebu naomba nifamisheni n sehemu gani naweza kubadilisha pesa ya tz kwa dola.kwa bie nafuu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dah siku ya leo kwangu iliisha kinamna yake kabisa coz ilikua ya mshangao kidizain.leo wakat natoka ktk michakato yangu km mida ya saa 10 hivi nkapita maeneo flani ya sukari house pale posta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah nitaimis JF hizo siku lakin matumaini marekebisho ni ya manufaa,nategemea vitu vizuri kama JF apps!
2 Reactions
102 Replies
8K Views
Hoja hii ilianzishwa wakati JF ikiwa katika marekebisho makubwa, haikuweza kupatikana hivyo tunairejesha: Mawazo Metusela (0717 238011) ambaye alikuwa Mgombea Ubunge kupitia NCCR ameamua kujivua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni! Hivi inaingia akilini kuwa kuna Wazanzibari wanaishi Mogadishu - Somalia kama wakimbizi kwa miaka 11 sasa tangu 2001 eti kwa kuhofia maisha yao na vurugu za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtumishi wa mmoja wa Halmashauri ya Bagamoyo Erick Mnon'gona ambaye alikuwa ni mkusanya ushuru wa wamzao ya miti jana amepandishwa kizimbani kwa makosa ya udhadhilifu wa fedha zaidi ya sh mil 60...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
EAST AFRICA HERALD: Ex-child soldiers seek their parents
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Mimi nimechoka na hawa traffic police hapa Arusha. Baadala ya kuongoza magari au kuangalia wavunja sheria barabarani wao hujikusanya sehemu mbali mbali ya jiji letu, kazi kubwa ni kuomba pesa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF. Nimesikiliza kipindi cha jahazi cha clouds fm ambapo leo topic ilikuwa inahusu hotuba ya mbunge joshua nasari. Kilichonisikitisha sana ni kauli ya kibonde kuhusu nasari. Kibonde...
3 Reactions
90 Replies
10K Views
CDM ni chama kikubwa cha upinzani kilicho HAI kishikacho kasi ya pekee. Hivi juzi kwenye mkutano wao Arusha Mh. Nasari alitoa kauli ambazo kimsingi si zenye kujenga Chama wala Taifa, lkn kwa NIA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…