William Malecela ni MZururaji na mzamiaji misosi au??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William Malecela ni MZururaji na mzamiaji misosi au???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, May 18, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa huyu ndugu le Mutuuz inaonekane hakuna siku amesema niko kazini au ninaenda kuaandaa shamba au kufanya jambo lolote la maendeleo zaidi ya le mutuuz ...totoz.....pilau.....chipsy....kitimoto....na washikaji na madada...na wabunge.....na wadosi....na masela......wewe kazi unafanya wapi na saa ngapi?? Wewe tukikupeleka segerea kwa kosa la uzururaji tutakosea??? Waungwana hasa wewe mbunge wa EAC unafundisha jamii nini?? kuzamia misosi au?? Najua umo humu badilika kiongozi.......hata mtume paulo hakuwa mzigo kwa wenzake fanya kazi bwana sio unatugongea menu kila siku
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hata hicho anachofanya ni kazi tosha mana yy ni mwanaharakati na moja ya kazi ya mwanaharakati ni hyo kuzunguka kukusanya maoni kusikiliza kero mbalimbali au ulimpa lini kazi akakataa kuifanya? mana uko kuzunguka anatumia pesa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  akinunua hiyo mishkaki si analipa na kutoa ajira kwa ndugu zetu wanaouza hio mishkaki
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe ndo mzururaji unakaa kumfuatilia mtu badala ya kufanya shughuli zako.Yule anapesa za kurithi wacha ziishe kwanza ndo atafute zake.We angaika na maisha yako wacha kufuatilia maisha ya watu
   
Loading...