Hatimaye kitendawili cha lowasa kuhamia chadema chatenguliwa leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye kitendawili cha lowasa kuhamia chadema chatenguliwa leo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AdvocateFi, May 26, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  habar wakuu, leo mida ya mchana nilikuwa hapa monduli mitaa ya darajani pamoja na baadhi ya wazee wa ccm mahali hapa ambapo ktk mazungumzo yetu tulijadili kuhusu hali ya kisiasa hapa nchini especially hapa monduli. ktk kutaka kupeleleza kama msimamo wa hao wazee ni ccm ama chadema wazee hao wote kwa pamoja wakasema kuwa wao hawaangalii chama sa hv bali wanaangalia mbunge lowasa ambaye ni kipenzi chao yupo wapi na ndipo nikawauliza sasa juu ya chadema kama wataweza kujiunga ndipo wote kwa pamoja wakasema watajiunga soon pamoja na lowasa ila endapo mipango yao yote itakamilika kabla ya 2014.

  my outlook
  wanacdm wote mnatakiwa mtafakari kwa makini ujumbe huu mzito kutoka kwa hawa wazee wetu maana mdharau mwiba mguu huota tende.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,730
  Trophy Points: 280
  ata hasipo jiunga mapambano dhidi ya mafisadi yanaendelea.
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  kwani chadema inategemea kura zao? Robo tatu ya wa tz ni vijana na wote ni chadema so wasijisheue sa7bu ya lowasa
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyu lowassa anaingiza ufisadi wake mpaka kanisani, km ameamua kuwa msafi kwa nn asiachane na chama cha majambazi(CCM) ,Na kuamua kuwasaidia waumini wake coz huwezi kutumikia mabwana wa wili kwa wakati mmoja..
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  lowasa hana sifa hata moja ya kuwa mwana CDM!
   
 6. +255

  +255 JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Ila Shibuda anazo.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama huyu jamaa hata ajisafishe je kama atafaa kuwa mwana chadema!
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Wazee ulioongea nao hawana tofauti na wale washili wa Armeru. Hawana nafasi kwenye siasa za dunia ya leo.
   
 9. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Siasa za nyakati hizi hazina kulemba mkuu. ACTION TU.
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mi huwa simtambui huyo mwizi,fisadi wa tz, go to the hell
   
 11. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kelele za inzi huwa hazimtishi m2 kunya hata km asipo amia CDM BADO ITASHIKA KASI KM GARI ILIYOKATA BREAK
   
 12. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,650
  Likes Received: 3,299
  Trophy Points: 280
  Nimefungua harakaharaka nikijua keshatundika gamba kumbe porojo za kwenye mbege,ahh ushaniudhi tayari,ngoja nirudi zangu jangwani.
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamani naomba mnisaidie jambo moja,hivi hasa ufisadi wa huyu Lowassa kwa nchi yetu ni nini?Najua alijiuzuru uwaziri Mkuu kwa kashfa ya Richmond,lakini je,anahusika vipi na ufisadi?
  Nimekuwa nikimchukia huyu Lowassa kwa namna tofauti kidogo ambayo si ya kisiasa ni ya kiutendaji zaidi na inanigusa mimi binafsi.
  Wakuu naomba mwenye data za huyu jamaa anisaidie hapa maana nimekuwa nikitafuta data zake lakini sizipati.
   
 14. b

  bdo JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  hapa sioni cha kutafakari ..ila Lowasa apitie mbali na wazee wake, bora Monduli ibaki "kisiwa" na liwe jimbo la mwisho kuvua gamba, than LOWASA kwenda CDM kwa shinikizo
   
 15. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Naomba unitajie uchafu wake mkuu!! Ukiacha issue ya richmond ambayo iko wazi na soon ukweli utakuwa wazi.
   
 16. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mkuu hata mi sielewi ufisadi wa EL, humu watu wanapiga kelele tu hakuna hata mmoja mwenye data, mpaka naanza kuamini ushirikina...
   
 17. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama lowasa hatajiunga m4c ipo palepale "vua gamba vaa gwanda" pipooooooooooz!
   
 18. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kaiba nn Mkuu?! Ufisadi wake ni upi Mkuu? Naomba
  utupe data maana si wengine tupo gizani.
   
 19. B

  Bock Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli wakuu, wenye data tusaidieni,ufisadi wa lowassa ni upi hasa maana tunamwita fisadi lkn hatuujui ufisadi wake ni upi! Tuelimisheni tafadhali!
   
 20. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 779
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  Ikitokea EL anagombea uraisi kwa chama chochote kile nitamvotia. Yeye anamaamuzi, ni persisstent, ana kaji-udiktekta mbako ni muhimu kwa nchi hii, anawajibisha. Richmond kuna wahusika wakuu zaidi yake (itafahamika tu) na pia hiki chama chenye kuleta hamasa ya mabadiliko bado hakijaweka wazi mkakati wake wakuongoza nchi zaidi ya kufanya mikutano ya ku-attack chama tawala, kuigeuza arusha battle gorunds na hivyo kusimamisha maendeleo yote arusha (arusha is worse with opposition than it was, machalii wamekuwa waajabu wanategemea si-hasa wameacha kuchakarika kama kawaida yao, wanamsubiri huyo jamaa anaepigana na sirikali awakoe kwa ahadi, wanapoteza muda badala ya kuendeleza hustle kama zamani, wanaomba hadi mia ya fegi)....kisaokolijia watu wamechoshwa na hali iliyopo (chama tawala) hivyo wanakimbilia yeyote anaekuja tofauti ili kupata tumaini (kama wagonjwa na kikombe cha babu). EL wewe ndio pekee kwa sasa mwenye nia na uwezo wa kuongoza hii nchi....hawa wengine wanauchu wakuingia magogoni tu, ku-recover cost zao na kutimiza ndoto ya madaraka.....mnaovotia chama kuweni makini msipelekwe kimkumbo tu angalieni nia ya dhati ya hao wahubiri wapya si kuwa wanataka sadaka tu...
   
Loading...