Atimaye geti la mali asili idete kilombero lang'olewa!!!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atimaye geti la mali asili idete kilombero lang'olewa!!!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gele vaheke, May 27, 2012.

 1. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ni geti ambalo lilikuwa lina pingwa vikali na wananchi wa wilaya ya kilombero hususani wakazi wa ifakara Mpaka kidatu kutokana na kutozwa ushuru wa mazao yao ya chakula ndani ya wilaya leo nimepita sijalikuta geti na kibanda walicho kuwa wanachukulia fedha za wakulia kime vunjwa kama kwa katapila sasa nauliza je haya mapinduzi yamefanywa na wananchi?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa vizuri lakini hongereni...ifakara kwetu....
   
Loading...