ITV vipi tena?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
KATIKA HABARI YENU KICHWA CHA HABARI KINASEMA CHADEMA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO WAO.
swali langu ni kuwa mna ushahidi gani kuwa waliojitokeza ni chadema peke yao?
kwa nini mmeanza vizuri mnataka kumaliza vibaya kwa kitu ambacho hakina maana?
wale waliorudisha kadi hamjawaona?na kama mmewaona kwa nini mpoteshe dsakika za mwisho?
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

hahahaaaaa Nape bwana.

mi issue yangu bado Ruzuku tu, bilions zinazoteketea kwa kuwapa vya vya siasa si haki!

back to the point, leo nilikuwepo Jangwani naamini ulifatilia kupitia ITV. . . aisee kimenuka mtaani!! ccm sijui watajificha wapi
 
Kwani magamba hawaruhusiwi kuja kuona/kusikiliza CDM jinsi inavyoiteka nchi na wao hatimaye kuamua kulivua gamba!?

Kama ni magamba, TLP, CUF RUKHSA kuja kusikiliza mkutano wa magamba wakisuuzika na roho zao kwa yale watakayoyaona/kuyasikia katika mikutano hiyo basi wanaweza kabisa kuamua kuwa wanachama hai wa CDM.

Watu wameacha shughuli zao chungu nzima ili kwenda kuwasikiliza CDM, ujue kuna kitu kimewavutia na hatimaye kuamua kuhudhuria mkutano huo.

Umeshasikia mpenzi wa Yanga anahudhuria mkutano wa Simba na vice versa!?
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
We endelea kupiga usanii huku kwenye mitandao ya kijamii na kwenye maruninga lakini unaogopa kuwafuta wananchi kupitia mikutano. Kwa jinsi mnavyokiweka chama chenu mbali na wananchi ndivyo mnavyopoteza umaarufu. Inawezekanaje katibu mwenezi wa chama anashindwa hata kuitisha mikutano ya hadhara ya uhamasishaji na chama kinaangalia tu. Chama chenu hakina watu wenye mvuto kujaza viwanja kama walivyofanya CDM leo
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Napokuona huwa nafurahi sana maana mi kazi yangu ni kùpiga pini magamba,Nchi inatawaliwa na cdm,magamba mko inferior mmejipaka kinyesi kinachoitwa ufisadi,mnaona aibù kujitokeza na kueleza malengo yenu kama chama tawala.Mnapojitokeza mnazomewa mpaka na watoto wa chekechea.Safari hii hamfik 2015.Mambo ndio yameanza.Sasa hv hakuna tena jangwani kuna cdm sqr bado ikulu ya magogoni kubatizwa cdm state house
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
Nadhani wanafiki unawajua wewe, ukweli unao but unaukana, SISIMWEWE bwana, kazi mnayo. Mtatambaa mpaka basi!!! Hata muwaite majina mabaya kiasi gani, eleweni kuwa mnakimbiwa na hakuna kurudi nyuma!!!!
 
nyinyiemu, mnasomba wanachama wenu kwa magari (eg mkutano wenu na wanafunzi UDOM) na kuwaahidi kuwapa chakula ndo wanakuja, lakini pipozzz wanakuja kwa nauli zao na bado wakifika wanakichangia chama!!!!! Viongozi wa kweli hawaingii madarakani kwa kuwaonga wananchi bali wananchi wanawachangia kwa sababu ni maskini wenzao na wanajua matatizo waliyonao wananchi!!!! Viva cdm.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
Nape imefikia wakati uwe walau na aibu kwani mtu yeyote asie na aibu hatofautiani na mnyama.Kama kuna chama kinacho ungoza ulimwenguni kwa usanii ni CCM nawe ukiwa vuvuzela la chama hicho cha kusikitisha si chama chako wala wewe mwenyewe ambao mnaweza kusoma mishale ya wakati.Ndiyo inaeleweka ya kua mshahara wako unaupata kwa kuwadanganya hao viongozi wako wa juu kuhusu hali ya CCM ambayo de fact tayari mfuu kwani ukiwambia ukweli kuhusu hali ilvyo ndio utakua mwisho wa kibarua chako.NASUBIRI KWA HAMU MAGAZETI YA KUFUNGIA VITUMBUA (UHURU,HABARI LEO KESHO YATATOKA NA VICHWA GANI KUHUSU MKUTANO WA JANGWANI-CHADEMA SQUARE-)MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
Kichwa maji hujambo umekua msemaji wa ITV pole sana kwa umati wa leo sio wakubebwa na fuso na malori
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
hiyo kazi ya uvuvuzela iko siku utaamua kuisusa. utapingana na ukweli hadi lini? nakuhurumia sana kwa kuvaa gwanda kimoyo moyo.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Kwisha habari yenu Nnauye Jr, naona roho inawauma sana unaishia kutunga maneno ya uongo na kutunga fitna. Kila kitu kilionekana ITV leo. Nyie hamuwezi kujaza watu vile bila kuleta malori na kuwapa watu wali. Na sidhani kama umemuelewa mtoa mada, yeye amesema kuwa ITV wametoa taarifa kuwa CHADEMA wamejitokeza kwa wingi wakati wale ni Watanzania kutoka vyama mbali mbali.

Hivi kuna waigizaji kama CCM hapa duniani? Mara msema mnavuana magamba watu hawavuliki, maisha bora kwa mtanzania wakati maisha ni magumu sana.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Kwisha habari yenu Nnauye Jr, naona roho inawauma sana unaishia kutunga maneno ya uongo na kutunga fitna. Kila kitu kilionekana ITV leo. Nyie hamuwezi kujaza watu vile bila kuleta malori na kuwapa watu wali. Na sidhani kama umemuelewa mtoa mada, yeye amesema kuwa ITV wametoa taarifa kuwa CHADEMA wamejitokeza kwa wingi wakati wale ni Watanzania kutoka vyama mbali mbali.

Hivi kuna waigizaji kama CCM hapa duniani? Mara msema mnavuana magamba watu hawavuliki, maisha bora kwa mtanzania wakati maisha ni magumu sana, hamtoi mikopo kwa wanafunzi, mfumuko wa bei mkubwa, deni la taifa kubwa, mna ubadhilifu, wezi na wahujumu uchumi mnawakumbatia badala ya kuwawajibisha.

Tutaendelea kuwanyoosha mpaka mtakavyotuachia nchi yetu.
 
Back
Top Bottom