shibuda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shibuda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by baraka moze, May 27, 2012.

 1. b

  baraka moze Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  napendekeza shibuda avuliwe uanachama chadema
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe keshagundua kajivua uanachama Chadema siku nyingi, ndo maana ameenda ku-gatecrash semina elekezi ya ma-RC na ma-DC huko dodoma kwa magamba. Na atashangaa jinsi wapigakura wake wa Maswa watakavyomkaanga kwa kwenda kinyume na M4C.M4C ilipokuwa Chadema Square (Jangwani) eti yeye alikuwa kwenye high stool kwenye baa moja maaruf Dodoma. Shibuda kajimaliza mwenyewe kwa kutumia mdomo wake vibaya.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,084
  Likes Received: 6,548
  Trophy Points: 280
  Yule ni kama anamatatizo ya akili.
   
Loading...