Polisi igeni Misri na Tunisia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi igeni Misri na Tunisia...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by YanguHaki, May 27, 2012.

 1. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi la Polisi nchini limekosa utaalamu wa namna ya kushughulikia mikusanyiko mikubwa na maandamano makubwa hapa nchini. Mara nyingi huibuka na hadithi ambazo haziingii kwenye akili ya mwananchi wa kawaida. Kuzuia maandamano, kwa upeo wangu, ni kukiri kushindwa hasa pale ambapo sababu zinazotolewa zinakuwa nyepesi nyepesi. Kwa hakika jambo hili ni chanzo kikubwa cha tuhuma kwamba jeshi letu la Polisi linatumiwa na Chama tawala.
  Rai yangu ni kwa IGP kupeleka vijana wake kwenye mafunzo ya muda mfupi kwa nchi nilizozitaja hapo juu.
  Mungu Ibariki Tz.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  waiaigaje wakati wamefoji vyeti hao
   
Loading...